MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,562
- Thread starter
- #61
Ok
They say Love is two way traffic. Na ndilo sote tunalolitegemea. But kuna watu wengine ambao huwa wanahisi wao ndo wanataka kufanyiwa kitu fulani tu! Hilo huwa ndo kosa kubwa. Bwana mzee baada ya kuona ww ndo unamfata ama niseme unajipeleka akaona ww umeoza kwake,,,, kosa la kwanza ulilolifanya wewe. Alipokubeep kuhusu kum-recharge wewe hukugundua ukampatia,,,, yeye akajua zako ni nyingi na hazina kazi. Hayo yalikuwa makosa yako! Mnapoelekea katika maisha ya kufunga ndoa mmekuwa na mzigo wa matumizi makubwa kiasi ambacho jamaa hajui kuwa anayumbisha kipato cha mmoja wenu. Bado ni maisha ya club na hivi na vile. Tena mshukuru Mungu kuwa mna kibarua! Once huyu jamaa hana kibarua na hali kadhalika wewe huna ndo basi tena anaweza akakutuma ukafanye ufuska ili apate hela ya club.
Ni mara chache sana kukuta mwanaume anamuuliza mkewe mshahara wake.
Mimi nakushauri uwe makini kuchambua mtizamo wetu. Kama unaona kuachana naye kutakusaidia wewe kujijenga kimaisha na unakubali kuanza moja basi fanya hivyo. Kama hutopata faraja kwa kuchana naye basi kaeni chini umweleze unachopenda na usichopenda. Una nafasi bado. Pia nakushauri kwa sasa ahirisha ndoa na mweleze wazi kuwa hauko tayari kwa hilo kwa sasa.
Mambo ya watu wanajua uhusiano wenu na nini na nini,,, just forget it,,,, wewe ndiye uliye humo ndani. Kama ni ngoma ni wewe unaicheza na sio wao.
All the best.
Eka Mangi
Yaani uliyoyasema hapa Eeka ni kama vile wewe ndio yeye ananijibu hapa maana is exactly what is happening na inaweza kuwa worse than that. Tatizo nafikiri mie niko sensitive na maisha than he is though kwangu yeye ni mkubwa kiumri.
Napenda kukushukuru kwa ushauri wako ninaahidi nitaufanyia kazi. Thanx and be blessed.