Utajuaje kuwa anakupenda au anakutumia tu....?

My dias nilikuwa siku nyingi nahisi something is not right but nikawa najipoza kuwa pengine ni mimi tu ninayemchukulia ki hivyo but kutokana na mawazo yenu nadhani kuwa nilikuwa right he is not that into me. Nahitaji kuchukua hatua ingawa sijajua ni kiaje. I had a chance ya kwenda nje for further study akawa ananikatisha tamaa kuwa at least tuishi kidogo after marriage and I was stupid enough to let it go. I think that is one of the way out of this miserable life
 
My dear yaani hapo ni kumshukuru Mungu kwa hayo kujionyesha mapema,huna haja ya kuwaza mara mbili mbili,amua kusuka au kunyoa,nilishawahi kukumbana na wa type hiyo,nilifika mahali nikachoka na uzalendo ukanishinda nikaachia ngazi kwa hiyo dada the earlier the better,m-mwage hana mapenzi ya dhati ni fisadi wa mapenzi.
 
MJ1,
Kwenda kusoma itakusaidia mambo mawili:
1. Kupata fursa ya kumwacha huyo mtu
2. Hao ndugu na jamaa unaoogopa watasema nini pale utakapomwacha jamaa yako, itawachukua muda kujua na by the time wanajua - stigma itakuwa imepungua na wewe utakuwa umeshaanza maisha mapya bila huyo bwana.
 
It all started as a blind date....... tulikutanishwa na mtu then tukapendana. Akanambia yake nikamwambia yangu. Katika kunambia yake alisema kuwa hajajaliwa mali bali moyo wa upendo (au ndio uongo wenyewe huo!). Ni kweli hajajaliwa pesa kiviiile but since then mali kwangu hakikuwa kigezo cha kumpenda na ndio maana nikaamua kumpa moyo wangu akiwa hana kitu( sasa inawezekana alikuwa ananitega!)

Hahahaha duh kwa hiyo anautajiri wa moyo wa upendo je anaonyesha wazi wazi kuwa anakupenda au naye atakuwa amekuona wewe matawi naye akaona ndo hapo hapo pakutekea kwenye game.
 
My dear yaani hapo ni kumshukuru Mungu kwa hayo kujionyesha mapema,huna haja ya kuwaza mara mbili mbili,amua kusuka au kunyoa,nilishawahi kukumbana na wa type hiyo,nilifika mahali nikachoka na uzalendo ukanishinda nikaachia ngazi kwa hiyo dada the earlier the better,m-mwage hana mapenzi ya dhati ni fisadi wa mapenzi.

. Yaani acha tu naumia ninapofikiria kuwa muda wote nimemkabidhi moyo wangu yeye anauchezea shere. Hivi kwa nini lakini natamani nimmeze but ndo siwezi.

Sasa ndo nimeamini kuwa hata wanaume wapo wanaochuna tofauti yao na sie ni kuwa sisi tukiwa tunachuna huwa tunaficha makali yetu na kuwa makondoo ili tu tufanikiwe kuchuna sio hawa yaani huyu anachuna na bado anaonyesha ubabe. Nimechoka kabisa nampenda na moyo unaniuma kulet it go but I have to listen and follow my head and not my heart.
Aksanteni ndugu zangu. So how am I going to stop the wedding? Nianze tu ' I need more time let us stop the vikaos au? maana imebaki two months'
 
Hahahaha duh kwa hiyo anautajiri wa moyo wa upendo je anaonyesha wazi wazi kuwa anakupenda au naye atakuwa amekuona wewe matawi naye akaona ndo hapo hapo pakutekea kwenye game.

.. Fidel unanicheka!! Sawa tu.

Anajua tu kudeclair ananipenda kwa watu tu ila matendo yake ni tofauti. Mfano angekuwa ananipenda angeniheshimu na wala asingekuwa ananifanyia mambo ambayo anajua kabisa kuwa ninaumia akinifanyia hayo. I doubt huo upendo wake kwa sababu si wanasema ukiwa unampenda mtu sometimes huwa huoni kama kakukosea? sasa huyu ni tofauti anaweza hata akakasirika kwa kosa la mtu mwingine akakukasirikia wewe. na ikipita wiki hamjagombana basi tunafanya sherehe. Hakuna kabisa.

Sometimes mkiwa faragha utakuta anataka umfanyie vitu ambavyo vitamfurahisha yeye tu bila kujali kama wewe unataka au la au hata akiwa anahamu ya penzi then wewe hujisikii siku hiyo labda umechoka sana (Nakumbuka kuna siku tulikuwa na wageni nyumbani and I was alone nikaangaika kutayarisha chakula na vinywaji na kujikuta nalala saa saba usiku afu yeye anakuja anadai anataka chakula cha usiku nikamwambia dia yaani nilivyochoka siwezi hata kunyanyua mguu looh nilijuta akahama na chumba kenda lala chumba cha wageni and then nikanuniwa the whole wiki. Yaaani I was like mh hivi huyu ananijali kweli au anajijali. Na mengineyo mengi tu ya kukera.
 
What i can say is that try to sit and think deeply,unajua kuliko kuingia kwenye ndoa ambayo tayari umeshaiona mwelekeo wake its beter to postpone it,unaweza kuingia kwenye hiyo ndoa na ikawa ni majuto kwa maisha yako yote,kwa hiyo jaribu kutafakari kwa umakini sana na ku-make right decision, naelewa kwamba inauma lakini inapofika hapo huna budi.

Siku hizi ndoa zimekua na shida sana wengi tunaona mwelekeo mapema na kuamua wacha nitoe mkosi,nami nisipitwe na hii fashion ya kuvaa nguo nyeupe lakini baada ya mwezi au mwaka ni majuto tu.Na hizi ndoa zetu tu za Kikristo ndo basi tena ukiingia umeingia.
 
(Nakumbuka kuna siku tulikuwa na wageni nyumbani and I was alone nikaangaika kutayarisha chakula na vinywaji na kujikuta nalala saa saba usiku afu yeye anakuja anadai anataka chakula cha usiku nikamwambia dia yaani nilivyochoka siwezi hata kunyanyua mguu

Duhhh basi huyu hakupendi ulidanganywa kabisaaaaaaa.
Lakini kama unajua hivyo siku ingine akitaka ww mwambie nimechoka lakini njoo panda unapanua miguu huko yeye afanye achoke aridhike hawakawii kutoka nje ya ndoa hao baadae utakuta anakuja na style mpya anaomba tiGo watoto wadogo watamuonjesha we mzibiti mapema akionja tu basi ugomvi tena ooh hunipendi kwa vile sina hela kisa ni tiGo unamnyima.
 
hivi fidel mbona unaikazaniaga sana hiyo kampuni?haa hivi ndio mwisho wa matatizo?hebu nihakikishie.
 
Duhhh basi huyu hakupendi ulidanganywa kabisaaaaaaa.
Lakini kama unajua hivyo siku ingine akitaka ww mwambie nimechoka lakini njoo panda unapanua miguu huko yeye afanye achoke aridhike hawakawii kutoka nje ya ndoa hao baadae utakuta anakuja na style mpya anaomba tiGo watoto wadogo watamuonjesha we mzibiti mapema akionja tu basi ugomvi tena ooh hunipendi kwa vile sina hela kisa ni tiGo unamnyima.

..... Ah nilishajaribu siku moja matokeo yake kasusa hata bado kufika katikati eti oh kama hutaki useme sasa nikisema wanuna. Eti maana yake ni nini kuniachia mwenyewe yaani hana jema.
 
MwanajamiiOne hebu achana na huyo mtu mimi tu naposoma hayo maelezo na vituko vyake vinanikera sasa we unaeishi nae sijui unavumiliaje? Sidhani kama ningeyaweza Mungu nae huwa anajua jamani,vituko vyote hivyo Hongera kwa UVUMILIVU!
 
What i can say is that try to sit and think deeply,unajua kuliko kuingia kwenye ndoa ambayo tayari umeshaiona mwelekeo wake its beter to postpone it,unaweza kuingia kwenye hiyo ndoa na ikawa ni majuto kwa maisha yako yote,kwa hiyo jaribu kutafakari kwa umakini sana na ku-make right decision, naelewa kwamba inauma lakini inapofika hapo huna budi.

Siku hizi ndoa zimekua na shida sana wengi tunaona mwelekeo mapema na kuamua wacha nitoe mkosi,nami nisipitwe na hii fashion ya kuvaa nguo nyeupe lakini baada ya mwezi au mwaka ni majuto tu.Na hizi ndoa zetu tu za Kikristo ndo basi tena ukiingia umeingia.

Za bomani je? nazo hakuna kutoka?
 
..... Ah nilishajaribu siku moja matokeo yake kasusa hata bado kufika katikati eti oh kama hutaki useme sasa nikisema wanuna. Eti maana yake ni nini kuniachia mwenyewe yaani hana jema.

Nimeamini mpaka hapo huyu mtu anakutumia kwa kukidhi haja zake je na wewe ukiwa na hamu yeye hana inakuwaje iwa unaomba na wewe mchezo?
 
MwanajamiiOne hebu achana na huyo mtu mimi tu naposoma hayo maelezo na vituko vyake vinanikera sasa we unaeishi nae sijui unavumiliaje? Sidhani kama ningeyaweza Mungu nae huwa anajua jamani,vituko vyote hivyo Hongera kwa UVUMILIVU!

Msindima ndugu yangu we acha tu.

Nadhani nina tatizo la kutojiamini (si kwa maana ya kushindwa kuishi bila yeye nope na hilo analijua kwani tulikutana nikiwa tayari na maisha yangu na kutunza baadhi ya ndugu zangu) Nadhani tatizo langu ni jamii itasemaje nafikiri ushauri wenu niutekeleze kwa kwenda shule then nicut au nisubirie (kumtegeshea) afanye kosa ambalo nitampin nalo otherwise inaniwia ngumu kweli ingawa najua fika kuwa I need to end this relationship.

Huo ni udhaifu wangu lazima nikiri. Ni mengi nafanyiwa na kusema ukweli waliosema mganga hajigangi na kinyozi hajinyoi hawakukosea maana najiamini katika kuwashauri wenzangu hasa katika mambo ya relationships but kwangu nashindwa yaani ni aibu kwangu.
 
Nimeamini mpaka hapo huyu mtu anakutumia kwa kukidhi haja zake je na wewe ukiwa na hamu yeye hana inakuwaje iwa unaomba na wewe mchezo?

Fidel mtu na yote anayokufanyia hiyo hamu yatokea upande upi? Sio siri siku nyingine huwa naomba tu hata asafiri kwa mwaka mzima maana huwa napata kero tu. Kule kwenye niguse hapa nimekwambia sijui nikiguswa wapi nakunika so inawezekana sijawahijua raha ya tendo hilo so hamu kwangu sijawahi hasa kuisikia sana sana kumzuia asishikilie msemo wake kuwa nina mtu nje ya mahusiano yetu basi akitoka safari ndo ntajifanya mie nina hamu na nimemmiss so ntaanza kumgusa gusa na yeye kwa vile huwa anaitegea anione kama nitamgusa hunitizama tu na nisipoanzisha yeye atakaa kimya kisha asubuhi utamsikia akilalama kuwa sina hamu naye jamani yaani ah.
 
MJ1 pole na hisia ulizonazo kwa sasa.
Umeulizwa mengi na waliotangulia,,, ila baadhi ya pia tungependa kujua, je katika maisha yenu ya urafiki/ndoa kama ipo mliwahi kuweka mapato yenu nyote hadharani? Kwa maana kuwa wewe unaleta mshahara wako na yeye pia? je, mlikutana katika mazingira ya wewe kumuwezesha jamaa yako kuliko yeye anavyokuwezesha?
Pia angalia kama mchezo kama ni ule ule ama umebadilika, yaani kupungua kiwango ingawa kama yuko busy na kazi inaweza kusababisha kupungua kwa kiwango.
Kama utajibu maswali yetu basi tunaweza tukakusaidi angalao!
 
Eeka hatukuwa tumekubaliana kuweka mapato yetu rasmi ila nakumbuka nilipokuwa nina shida ya pesa nikimwomba alikuwa ananiuliza kwani mshahara unapata kiasi gani na unazitumiaje sasa nilipoona inakuwa kero nikaamua tu kumpa salary slip na matumizi aone ninapomwomba pesa ni kwamba huwa nimebanwa na si tabia yangu. Na ni mara nyingi tu amekuwa akilalamika hapa pesa nikawa nadiriki kumpatia za kwangu.

Kipindi cha mwanzo tulikuwa tunaishi mbalimbali kabla ya kuanza kuishi pamoja. Ilikuwa inafikia hatua anadai hana pesa za kusafiri kuja kunisalimia nikawa nakwenda mimi mara nyingi. Pengine hii ilimjengea hisia kuwa ninazo au ninajimudu sana.

Performance yake haijabadilika kitu naona iko pale pale au labda sijatilia maanani katika kufuatilia.
 
Pole MJ1,jitahidi kuwa strong ndugu,otherwise kwa nionavyo mwelekeo utaumia sana ndugu yangu,mtu gani huyo wa tabia hizo,unajua zinakera sana,anyway piga moyo konde mwombe Mungu atakusaidia
 
Ok
They say Love is two way traffic. Na ndilo sote tunalolitegemea. But kuna watu wengine ambao huwa wanahisi wao ndo wanataka kufanyiwa kitu fulani tu! Hilo huwa ndo kosa kubwa. Bwana mzee baada ya kuona ww ndo unamfata ama niseme unajipeleka akaona ww umeoza kwake,,,, kosa la kwanza ulilolifanya wewe. Alipokubeep kuhusu kum-recharge wewe hukugundua ukampatia,,,, yeye akajua zako ni nyingi na hazina kazi. Hayo yalikuwa makosa yako! Mnapoelekea katika maisha ya kufunga ndoa mmekuwa na mzigo wa matumizi makubwa kiasi ambacho jamaa hajui kuwa anayumbisha kipato cha mmoja wenu. Bado ni maisha ya club na hivi na vile. Tena mshukuru Mungu kuwa mna kibarua! Once huyu jamaa hana kibarua na hali kadhalika wewe huna ndo basi tena anaweza akakutuma ukafanye ufuska ili apate hela ya club.
Ni mara chache sana kukuta mwanaume anamuuliza mkewe mshahara wake.
Mimi nakushauri uwe makini kuchambua mtizamo wetu. Kama unaona kuachana naye kutakusaidia wewe kujijenga kimaisha na unakubali kuanza moja basi fanya hivyo. Kama hutopata faraja kwa kuchana naye basi kaeni chini umweleze unachopenda na usichopenda. Una nafasi bado. Pia nakushauri kwa sasa ahirisha ndoa na mweleze wazi kuwa hauko tayari kwa hilo kwa sasa.
Mambo ya watu wanajua uhusiano wenu na nini na nini,,, just forget it,,,, wewe ndiye uliye humo ndani. Kama ni ngoma ni wewe unaicheza na sio wao.
All the best.
Eka Mangi
 
Back
Top Bottom