MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,562
- Thread starter
- #21
Nitajuaje unanichuna?
Jamani Fidel si you guys have your own measures for that? Mnazo dalili zenu za kuweza kujua kama huyu msichana ni after chapaa na wala si mapenzi. Kwa wasichana ni rahisi kujua na nadhani hata mie nazijua but kwa mwanaume sijui kwani anaweza akafanya kitu ukamwuliza akakupa sababu za kujustfy. Sasa ndio maana nauliza kwa sababu sometimes sababu ninazopewa mh hata mtoto mdogo hazikubali.