Utajuaje anakupenda?

Kama unampenda na una malengo nae kaa nae chini mzungumze kwa uzuri na kutaka kujenga ndoa yako tarajiwa
 
Habari wakuu?

Nipo kwenye mahusiano na mwanamke ana mtoto mmoja, ambaye alimpata akiwa ndoani lakini baadae baba wa huyo mtoto alikufa kwa ajali. Anamtambulisha huyo mtoto kwangu kama baba yake kamili(kwangu hili sio shida)

Nataka nitoke kwenye ujana nafikiri huu ni muda sahihi kwangu wa kuoa, lakini huyu mwanamke simuelewi, nikimpa pesa ama kitu chochote hatoi shukrani.. Mfano anaweza kunambia ana shida ya elf 30 then nikimtumia kwenye simu hajibu kama ameipata na wala hasemi "asante"

Hajawai kunitamkia neno "Nakupenda" japo huwa anasema ananimisi. Nikimwambia sipo sawa haulizi kwanini wala hataki kujua sababu... Sanasana anapenda kunitamkia "Let me give you time & space, find me when you feel uko sawa"

Kiufupi hayupo romantic.

Nakosea wapi wakuu? Nilitaka nimuweke ndani maana kwenye 6*6 yupo vizuri ila hofu yangu ndio hiyo.
Moyo wake upo mbali nawe hajakupenda bado ila inaonesha wewe umempenda, ila tumia muda wa kukaa naye mweleze hisia zako na unahitaji upendo toka kwake
 
Ufundi bado ni kigezo kidogo sana kukufanya umuweke ndani
hapo unaenda kukidhi haja zako za kimwili kwa uhakika ulio nao
fanyia vigezo vya wife material kwanza
 
Habari wakuu?

Nipo kwenye mahusiano na mwanamke ana mtoto mmoja, ambaye alimpata akiwa ndoani lakini baadae baba wa huyo mtoto alikufa kwa ajali. Anamtambulisha huyo mtoto kwangu kama baba yake kamili(kwangu hili sio shida)

Nataka nitoke kwenye ujana nafikiri huu ni muda sahihi kwangu wa kuoa, lakini huyu mwanamke simuelewi, nikimpa pesa ama kitu chochote hatoi shukrani.. Mfano anaweza kunambia ana shida ya elf 30 then nikimtumia kwenye simu hajibu kama ameipata na wala hasemi "asante"

Hajawai kunitamkia neno "Nakupenda" japo huwa anasema ananimisi. Nikimwambia sipo sawa haulizi kwanini wala hataki kujua sababu... Sanasana anapenda kunitamkia "Let me give you time & space, find me when you feel uko sawa"

Kiufupi hayupo romantic.

Nakosea wapi wakuu? Nilitaka nimuweke ndani maana kwenye 6*6 yupo vizuri ila hofu yangu ndio hiyo.
Endelea kwanza kumchunguza nadhali dalili ushaanza kuziona! Hakupendi huyo
 
Back
Top Bottom