Utajisikiaje?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utajisikiaje??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mbavu za Mbwa, Jul 31, 2011.

 1. M

  Mbavu za Mbwa JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2011
  Joined: Jan 2, 2011
  Messages: 288
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 45
  Ni mwanachama wa jamvi pendwa la JF. Kuna mada ambayo ungependa uiweke jukwaani ili wana fikra pevu waweze kuichambua na kuchangia. Lakini kwa bahati mbaya, watu wengi wanaipitia na hawachangii chochote. Kila ukiikagua thread yako unakutana na neno REPLIES 0, VIEWERS 340.

  UTAJISIKIAJE???
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  ina maana hujaiwakilisha vizuri
  unaweza rudia kwa kuiandika vizuri na kuipa heading nyingine
   
Loading...