EddoLexus
Member
- Jul 21, 2019
- 16
- 25
Ndio ni za kijinga kwasababu hazina faida kwako wala kwa customers wako wala kwa chochote in future. Utasikia mtu anajiita super woman, sijui strong boy, mwingine sijui mwanamke jasiri mara mwingine anajiita mwanaume jasiri,mpambanaji sijui na mengine mengiii mno ya kujisifia,,, mi nakwambia hivii acha jamii ikupe hayo majina na haitakupa kwa kukupendelea noo ni kutokana na efforts zako katika shughuli zako.
Tunaishi katika dunia ambayo ni very open kila unachofanya kinakuwa wazi kwa jamii nzima as long as unachokifanya kinahusu maisha ya wanadamu au kina impacts kwa jamii fulani,, namna unavyoleta impacts kwenye jamii ndivyo itakavyokuchukulia kama wewe ni mpambanaji,jasiri,strong au kimeo.
Utajisikiaje pale ambapo unajiita strong woman or man halafu kiuhalisia sio kwa kuonewa jamii inakuona kama huna impacts yoyote kwenye jamii inayokuzunguka?Unazani kina Diamond na Alikiba hizi sijui King kiba,Simba,Dangote walikuwa wajbatiza wenyewe? kawaulize utasikia sijui nilipewa na shabiki kwenye shoo flani
What i mean,, usijipe moyo kwa kujipa majina makubwa kuliko uhalisi wako,, umezungusha vitenge siku 10 tu unajiita jasiri kweli? wakati mwenzako amelima,ameuza maandazi,mgahawa,kaponda kokoto,kafuga kuku, n.k bado hajaweza kujiita hayo majina makubwa na bado anandoto kubwa mbele yake.
Ladies tusijipe moyo kutokana na kauli au mafundisho na machapisho ya motivational speakers
Gents tusijipe moyo kutokana na kauli au mafundisho na machapisho ya motivational speakers
Ile kauli ya magufuli ya hapa kazi tu,kiroho safi mimi ni kijana na nakumbushashana tu na wenzangu hakuna mzaha hata kidogo. kwa dunia ya sasa kama unataka kufika unapotaka kufika work hard, kuwa up to date hakikisha haipiti siku bila kuboresha ndoto uliyonayo mana Kuna watu vichekesho,ana ndoto ya kuwa mfugaji mzuri na mkubwa africa lakini kichwani kwake kila siku anajaza matokeo ya ligi zotee duniani,,trust me utakufa na tutakuzika na ndoto zako kaendelee kuota huko mbinguni
Tafiti zinaonyesha 70% ya Africans ni 35 yrs kushuka, hii generation ikibadilisha minds zetu za kufikiri baada ya miaka 30 mbele afrika haitakuwa hii tena,,, fanya kitu cha tofauti au boresha kilichopo jamii ikupe a.k.a zoteee hata ambazo unahisi ziko juu ya uwezo wako na utaacha alama duniani but kama utajipa sijui nanii jasiri sijui mpiganaji utaenda kuonyesha ujasiri wako huko mbele tukishakufukia
All the best Tanzania and Africa