Utajisikiaje pale ambapo unajiita strong woman or man halafu kiuhalisia sio

EddoLexus

Member
Joined
Jul 21, 2019
Messages
16
Points
45

EddoLexus

Member
Joined Jul 21, 2019
16 45
Ndio ni za kijinga kwasababu hazina faida kwako wala kwa customers wako wala kwa chochote in future. Utasikia mtu anajiita super woman, sijui strong boy, mwingine sijui mwanamke jasiri mara mwingine anajiita mwanaume jasiri,mpambanaji sijui na mengine mengiii mno ya kujisifia,,, mi nakwambia hivii acha jamii ikupe hayo majina na haitakupa kwa kukupendelea noo ni kutokana na efforts zako katika shughuli zako.

Tunaishi katika dunia ambayo ni very open kila unachofanya kinakuwa wazi kwa jamii nzima as long as unachokifanya kinahusu maisha ya wanadamu au kina impacts kwa jamii fulani,, namna unavyoleta impacts kwenye jamii ndivyo itakavyokuchukulia kama wewe ni mpambanaji,jasiri,strong au kimeo.

Utajisikiaje pale ambapo unajiita strong woman or man halafu kiuhalisia sio kwa kuonewa jamii inakuona kama huna impacts yoyote kwenye jamii inayokuzunguka?Unazani kina Diamond na Alikiba hizi sijui King kiba,Simba,Dangote walikuwa wajbatiza wenyewe? kawaulize utasikia sijui nilipewa na shabiki kwenye shoo flani

What i mean,, usijipe moyo kwa kujipa majina makubwa kuliko uhalisi wako,, umezungusha vitenge siku 10 tu unajiita jasiri kweli? wakati mwenzako amelima,ameuza maandazi,mgahawa,kaponda kokoto,kafuga kuku, n.k bado hajaweza kujiita hayo majina makubwa na bado anandoto kubwa mbele yake.

Ladies tusijipe moyo kutokana na kauli au mafundisho na machapisho ya motivational speakers
Gents tusijipe moyo kutokana na kauli au mafundisho na machapisho ya motivational speakers

Ile kauli ya magufuli ya hapa kazi tu,kiroho safi mimi ni kijana na nakumbushashana tu na wenzangu hakuna mzaha hata kidogo. kwa dunia ya sasa kama unataka kufika unapotaka kufika work hard, kuwa up to date hakikisha haipiti siku bila kuboresha ndoto uliyonayo mana Kuna watu vichekesho,ana ndoto ya kuwa mfugaji mzuri na mkubwa africa lakini kichwani kwake kila siku anajaza matokeo ya ligi zotee duniani,,trust me utakufa na tutakuzika na ndoto zako kaendelee kuota huko mbinguni

Tafiti zinaonyesha 70% ya Africans ni 35 yrs kushuka, hii generation ikibadilisha minds zetu za kufikiri baada ya miaka 30 mbele afrika haitakuwa hii tena,,, fanya kitu cha tofauti au boresha kilichopo jamii ikupe a.k.a zoteee hata ambazo unahisi ziko juu ya uwezo wako na utaacha alama duniani but kama utajipa sijui nanii jasiri sijui mpiganaji utaenda kuonyesha ujasiri wako huko mbele tukishakufukia

All the best Tanzania and Africa
 
google helper

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Messages
6,026
Points
2,000

google helper

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2013
6,026 2,000
Ndio ni za kijinga kwasababu hazina faida kwako wala kwa customers wako wala kwa chochote in future. Utasikia mtu anajiita super woman, sijui strong boy, mwingine sijui mwanamke jasiri mara mwingine anajiita mwanaume jasiri,mpambanaji sijui na mengine mengiii mno ya kujisifia,,, mi nakwambia hivii acha jamii ikupe hayo majina na haitakupa kwa kukupendelea noo ni kutokana na efforts zako katika shughuli zako. Tunaishi katika dunia ambayo ni very open kila unachofanya kinakuwa wazi kwa jamii nzima as long as unachokifanya kinahusu maisha ya wanadamu au kina impacts kwa jamii fulani,, namna unavyoleta impacts kwenye jamii ndivyo itakavyokuchukulia kama wewe ni mpambanaji,jasiri,strong au kimeo.

Utajisikiaje pale ambapo unajiita strong woman or man halafu kiuhalisia sio kwa kuonewa jamii inakuona kama huna impacts yoyote kwenye jamii inayokuzunguka?Unazani kina Diamond na Alikiba hizi sijui King kiba,Simba,Dangote walikuwa wajbatiza wenyewe? kawaulize utasikia sijui nilipewa na shabiki kwenye shoo flani

What i mean,, usijipe moyo kwa kujipa majina makubwa kuliko uhalisi wako,, umezungusha vitenge siku 10 tu unajiita jasiri kweli? wakati mwenzako amelima,ameuza maandazi,mgahawa,kaponda kokoto,kafuga kuku, n.k bado hajaweza kujiita hayo majina makubwa na bado anandoto kubwa mbele yake.

Ladies tusijipe moyo kutokana na kauli au mafundisho na machapisho ya motivational speakers
Gents tusijipe moyo kutokana na kauli au mafundisho na machapisho ya motivational speakers

Ile kauli ya magufuli ya hapa kazi tu,kiroho safi mimi ni kijana na nakumbushashana tu na wenzangu hakuna mzaha hata kidogo. kwa dunia ya sasa kama unataka kufika unapotaka kufika work hard, kuwa up to date hakikisha haipiti siku bila kuboresha ndoto uliyonayo mana Kuna watu vichekesho,ana ndoto ya kuwa mfugaji mzuri na mkubwa africa lakini kichwani kwake kila siku anajaza matokeo ya ligi zotee duniani,,trust me utakufa na tutakuzika na ndoto zako kaendelee kuota huko mbinguni

Tafiti zinaonyesha 70% ya Africans ni 35 yrs kushuka, hii generation ikibadilisha minds zetu za kufikiri baada ya miaka 30 mbele afrika haitakuwa hii tena,,, fanya kitu cha tofauti au boresha kilichopo jamii ikupe a.k.a zoteee hata ambazo unahisi ziko juu ya uwezo wako na utaacha alama duniani but kama utajipa sijui nanii jasiri sijui mpiganaji utaenda kuonyesha ujasiri wako huko mbele tukishakufukia

All the best Tanzania and Africa
je ! jina unalotumia humu ni la kwako halisi au aka hii haina ushamba ?
 
EddoLexus

Member
Joined
Jul 21, 2019
Messages
16
Points
45

EddoLexus

Member
Joined Jul 21, 2019
16 45
Mimi najiita Don, ila ni kapuku wa kufa mtu. Ila nainjoi sana ninapoona ID yangu, napata faraja sana.
Mwenyewe naipenda hiyo eddolexus lakini siitilii maanani kwasabu haipo kibiashara,,, maana yangu ilikuwa kwa mfano unajiita Don lakini kichwani kwako umeliweka kinamna ya kutafuta hela halafu nguvu unayotumia kutafuta hiyo hela hadi hilo jina la Don liwe kweli haionekani,, sijui kama nimeeleweka
 
Baba Swalehe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
15,615
Points
2,000

Baba Swalehe

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
15,615 2,000
Dah mzee nshawahi soma nchi flani hivi

Watu wanasoma na kufanya kazi kwa muda mmoja kama punda

Mtu anamaliza assigment saa 8 saa 11 yupo macho ni full mchaka mchaka !

Full hustling !

Sasa Mindset za watanzani wengi zinabidi zibadilishwe sababu

When you control your thoughts, you control your mind. When you control your mind you control your life; and once you reach a stage of being in total control of your life you become the master of your own destin

And For sure you will have abundant success

Tusikate tamaa pale tulipokosea bado tuna nafasi ya kufanya marekebisho sababu

In life there is no mistakes but lessons... Sometime pain can be a good teacher.

Asanten kwa kusoma !
 
EddoLexus

Member
Joined
Jul 21, 2019
Messages
16
Points
45

EddoLexus

Member
Joined Jul 21, 2019
16 45
Haha sisi wengine tunajiita
Mkurugenzi
Baharia
Director
Kamanda
Kiongozi
Jembe
Komredi
Boss
Mkuu
Jemedari
Don
Appolo
Sonko
King
Kama halina maana yoyoe akilini mwako halina tatizo,,, tatizo ni kama unajiita au unaitwa boss halafu unatamani kuwa boss kweli lakini hufanyi jitihada zozote za kuwa boss hapo utakuwa umejipa cheo kikubwa kuliko uhalisia
 
Hey

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Messages
511
Points
500

Hey

JF-Expert Member
Joined Apr 26, 2008
511 500
Pengine asingejiita hivyo asingekuwa hata na ujasiri wa kutoka nyumbani kwake. Hujui amekumbana na nini au anapitia nini.

Inakusumbua nini mtu mwingine kuwa his or her own motivator?
 
EddoLexus

Member
Joined
Jul 21, 2019
Messages
16
Points
45

EddoLexus

Member
Joined Jul 21, 2019
16 45
Dah mzee nshawahi soma nchi flani hivi

Watu wanasoma na kufanya kazi kwa muda mmoja kama punda

Mtu anamaliza assigment saa 8 saa 11 yupo macho ni full mchaka mchaka !

Full hustling !

Sasa Mindset za watanzani wengi zinabidi zibadilishwe sababu

When you control your thoughts, you control your mind. When you control your mind you control your life; and once you reach a stage of being in total control of your life you become the master of your own destin

And For sure you will have abundant success

Tusikate tamaa pale tulipokosea bado tuna nafasi ya kufanya marekebisho sababu

In life there is no mistakes but lessons... Sometime pain can be a good teacher.

Asanten kwa kusoma !
When you control your thoughts, you control your mind. When you control your mind you control your life ,,,, diffrerence ya matokeo ya watu wawili kwenye hii sentence itakuwa katika dhamira ya kweli na efforts on the process
 
EddoLexus

Member
Joined
Jul 21, 2019
Messages
16
Points
45

EddoLexus

Member
Joined Jul 21, 2019
16 45
Pengine asingejiita hivyo asingekuwa hata na ujasiri wa kutoka nyumbani kwake. Hujui amekumbana na nini au anapitia nini.

Inakusumbua nini mtu mwingine kuwa his or her own motivator?
Noo its fine if you are really motivated with such encouraging a.k.a but tunasemea ile ya kujiita tu bila kuonyesha dhamira ya kile unachojiita,, sijui kama nimeeleweka
 
LadyRed

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2016
Messages
7,219
Points
2,000

LadyRed

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2016
7,219 2,000
Wanaonichosha zaidi ni wale wanaojiiita -Queen,Her Majesty,Her Highness
heheh umekuwa Queen Elizabeth wewe?,..unakuta vistatus Queening bla blahh kwa lipi?..

Bihh Queening in whose throne.?
Mara sijui King..chaaa
Be humble people

Royalty ni kina Prince Harry na Meghan and the like..unafanana nao,.?
 
Wangari Maathai

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
22,509
Points
2,000

Wangari Maathai

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
22,509 2,000
Wanaonichosha zaidi ni wale wanaojiiita -Queen,Her Majesty,Her Highness
heheh umekuwa Queen Elizabeth wewe?,..unakuta vistatus Queening bla blahh kwa lipi?..

Bihh Queening in whose throne.?
Mara sijui King..chaaa
Be humble people

Royalty ni kina Prince Harry na Meghan and the like..unafanana nao,.?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kweli tumepishan...hahaha jaman mm hata status au dp sinaga muda wa kuangalia..nimeikutaga njombe ni km party tym job!mwanamke anaamka saa11 anaanza kuangalia status za wwnzakeπŸ˜‚πŸ˜‚ wht forπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Forum statistics

Threads 1,381,729
Members 526,184
Posts 33,810,187
Top