Utajisikiaje kwenye msiba wako TISS wakisema kuwa ulikuwa mtumishi wao na wanauheshimu mchango wako? Kumbe umesotea ajira zao na hukupata.

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,646
35,981
Umepambana chini juu kutafuta shavu TISS ukakosa, ukapambana ukapata sehemu nyingine ya kupata tonge nyama maisha yakaendelea. Sasa siku umekufa TISS wamekuja kukuzika na kuutambua mchango wako. Mkuu wa msafara wao anatoa shukrani zake kwa familia na kwa marehemu kuwa ulikuwa mtumishi wao mwenye nidhamu na mchapa kazi.

Wallah maiti itapiga ngumi watu.
 
Aisee
Uchawi upo
 
haitatokea kamwe..acha ndoto za macho wazi, huwa ni either mfanyakazi wa wizara ya mambo ya humu au ile ya kule sana sana. kamwe huwa sifa za marehemu mtumishi hazitamkwi kirahisi hivyo, ukibahatika kuhudhuria msiba utajua ..hata shughuli zinginezo mfano harusi ..huwa haitajwi tajwi tu kirahisi
 
Yaani nimesoma tena Na tena lkn sijakuelewa kabisa mpwa wangu.

Ngoja nirudie tena labda nitaelewa
 
Umepambana chini juu kutafuta shavu TISS ukakosa, ukapambana ukapata sehemu nyingine ya kupata tonge nyama maisha yakaendelea. Sasa siku umekufa TISS wamekuja kukuzika na kuutambua mchango wako. Mkuu wa msafara wao anatoa shukrani zake kwa familia na kwa marehemu kuwa ulikuwa mtumishi wao mwenye nidhamu na mchapa kazi.

Wallah maiti itapiga ngumi watu.
Halafu utashangaa huyu naye ana Degree.😄😄
 
Mkuu kama unatamani kufanya kazi ya kulinda nchi yako nenda ukasotee kazi jeshini.

Kuhusu TISS, wao wana vigezo vyao vingi tu.p
 
Umepambana chini juu kutafuta shavu TISS ukakosa, ukapambana ukapata sehemu nyingine ya kupata tonge nyama maisha yakaendelea. Sasa siku umekufa TISS wamekuja kukuzika na kuutambua mchango wako. Mkuu wa msafara wao anatoa shukrani zake kwa familia na kwa marehemu kuwa ulikuwa mtumishi wao mwenye nidhamu na mchapa kazi.

Wallah maiti itapiga ngumi watu.
Hahahahaha ...ati utajisikiaje!!! Atakuwa anajisikia bado wakati ni maiti!!
 
Back
Top Bottom