Utajiri

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,545
833
Nadhani huuu ni mwongozo mzuri kujua tunachozungumzia humu

WealthTable.jpg

interesting.....
 
Ikiwa na maana kuwa na milioni moja ya Kitanzania ni Umasikini uliokitthiri au ni Utajiri uchwara?
 
Ikiwa na maana kuwa na milioni moja ya Kitanzania ni Umasikini uliokitthiri au ni Utajiri uchwara?
kusema kweli mie hali ya nchi yetu inanichanganya akili sana.kinachonichanganya akili ni mwisho wake je hali ya maisha itakuwaje?

tuachen masiala kiwango cha hela kinachochotwa na wachache ni kingi mno kwa njia chafu.

Mungu atunusuru.
 
lol 4 million in assets is comfortably poor? Who made this list, Bill Gates?
 
mwalimu alisema punje ya mhindi inathamani kuliko gunia la noti je hiyo hekima-upendio(philo-sofia) imekaaje
 
kusema kweli mie hali ya nchi yetu inanichanganya akili sana.kinachonichanganya akili ni mwisho wake je hali ya maisha itakuwaje?

tuachen masiala kiwango cha hela kinachochotwa na wachache ni kingi mno kwa njia chafu.

Mungu atunusuru.

Sidhani kama hali ya nchi yetu itakuja kubadilika kwa muongozo huu tulionao
labda kama ulivyosema mungu atunusuru
 
Mzee data zako zinaonekana ziko juu sana jee umezipata kiutoka chanzo gani? ni muhimu tukajua.
CHARLES
 
Kwa mtazamo wangu mimi, kwa mnyumbulisho huo huo ila tuweke kwa fedha za Tanzania ili kuendana na hali halisi ya uchumi wetu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom