Utajiri wetu waafrika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utajiri wetu waafrika

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, Jul 11, 2011.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Baadh ya Waafrika wanaamini kuwa utajiri kwao ni watoto,yaani mtu kuwa na watoto wengi kwake ni faraja hata kama kuwahudumia ni tatizo........Makala niloiskia leo idhaa ya kiswahili ya Sauti ya Ujerumani ni muendelezo wa kile kinachoaminika na waafrika wengi......Mzee mmoja raia wa Benin ambaye ni mkulima na mganga wa kienyeji yeye anasema ana wake watatu TU,mke wa kwanza ana watoto 9,wa pili ana watoto 4 na wa tatu ana watoto 5,so jumla ama watoto 18,anasema kipato chake ni chini ya dola mbili na anaomba awezeshwe.........Karibu 1/4 ya wanaume wa Benin wameoa mke zaidi ya mmoja.......kweli mwanamke ndiye kila kitu kwa ustawi wa afrika
   
Loading...