Asante Madame, ubarikiwe.Karibu
Namfikiria mwanae tu sjui watakutana kwenye mazingira gani
HahahahahahHahahahaa utamoata tu subir tsunami mamii
Mfyuuuuu ebu ukoNipo mimi hapa.. Nitakufanya uishi kama Malkia..
Nimejikuta nacheka, utafikiri mazuri.....Claire anaposema ana mimba kilichofuata ni kukumbatiwa kwa furaha,,,, njoo bongo ukisema una mimba,kifuatacho ni utaitwa single mother na masimango kibao looo
Sio nije unifuje taterShauri yako.. Njoo nikutunuku, nikujaze, nikutakatishe.. Umeremete zaidi ya hapo..