Omuzirambogo
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 685
- 750
Mimi binafsi naamini kama mtu akijikita katika kuzalisha anaweza kuwa na maisha mazuri baadae. Unaweza kugawa majukumu baba ukaajiliwa ila ukamuwezesha mke kuzalisha bidhaa ambazo baadae watoto wanaziendeleza wakiwa na elimu na ujuzi zaidi.