Utajiri wa Dr. Dau unashtua

Wonders of the world.....na bado watu wanamtetea....huo ndio uzuri WA kuwa Mwafrica.........waafrica wamezoea kuibiwa...kwahiyo watakushangaa Sana unapochukia mtu anapoiba mali za imma ambazo kimsingi Ni Mali zao.....Sorry no offense intended
 
Utajiri wa aliyekuwa Mkurugenzi wa NSSF, Dr. Ramadhani Dau unafika zaidi ya Tsh 100Bilioni.

Ni mmoja wa wamiliki wa timu ya Newcastle ya Uingereza.

Kampuni zake pekee ndizo zinazopewa tenda ya kufanya kazi NSSF.

Source: Dira ya Mtanzania- 18 April 2016
Shida hapa ni kuwa nchi hii ilipokuwa inaingia kwenye mfumo wa soko huria haikuweka taratibu......na hiyo ndio shida ambayo nchi inajikuta inayo...Dau ana haki ya kuwa tajiri.Na ni kada wa CCM
 
Utajiri wa aliyekuwa Mkurugenzi wa NSSF, Dr. Ramadhani Dau unafika zaidi ya Tsh 100Bilioni.

Ni mmoja wa wamiliki wa timu ya Newcastle ya Uingereza.

Kampuni zake pekee ndizo zinazopewa tenda ya kufanya kazi NSSF.

Source: Dira ya Mtanzania- 18 April 2016
wamekosea hao Dira, Dau ndo anadhamini ligi kuu ya uingereza, na kuanzia msimu ujao ligi ya uingereza itaitaitwa "Dr Dau premier league"
 
Utajiri wa aliyekuwa Mkurugenzi wa NSSF, Dr. Ramadhani Dau unafika zaidi ya Tsh 100Bilioni.

Ni mmoja wa wamiliki wa timu ya Newcastle ya Uingereza.

Kampuni zake pekee ndizo zinazopewa tenda ya kufanya kazi NSSF.

Source: Dira ya Mtanzania- 18 April 2016

Kama ni kwa njia halali poa tu,lakini kama ni kwa njia mbofumbofu basi naye aitwe fisadi mkuu.
Mbona tuliaminishwa na awamu iliyopita kuwa fisadi ni lowassa pekee?na mradi tata ni wa richmond pekee?
kweli hii nchi inatakiwa ifumuliwe na kuundwa upya.
 
Kuna wakati mwingine kuna magazeti yapo kwasababu ya kuchafua wengine. Hivi Una bilioni mia moja unaweza kuwa mmiliki wa Timu Inayoshiriki EPL? Hiyo pesa utaweza kununua wachezaji kama Yohane cabaye au CHEIKH TIOTE ambao wote thamani Zao ni Zaidi Pesa hizo? kwa
Share holder yoyote ni mmiliki wa timu, ata ukiwa na Billion 1 inawezekana kabisa ukawa mmiliki wa sio Newcastle tu bali ata Manchester United kwa asilimia ata 0.001%.
 
Hv nikitaka kununua share kama 10 hv za NMB kwenye soko la hisa nahitaji kuwa na sh. Ngapi?
 
Aiseee! Eti ni mmoja wa wamiliki wa Newcastle hahahaha.

Habari kubwa kama hii Duniani ya Mtanzania kuwa Mmoja wa wamiliki wa Newcastle unaikuta kwny kipeperushi cha Dira tu!!

Dira hili hili lilituambia Dau na Ombeni Sefue walikula Rushwa kuipa tenda kampuni ya Wachina kujenga Daraja la kigamboni lakini wamesahau leo wanatuambia Tenda za kazi zote za NSSF Dau anayapa Makampuni yake sasa iweje ajipe Rushwa?
Wakiwa waongo wawe na Kumbukumbu!
 
Watanzania tupunguze MAJUNGU tuchape kazi, kama utajiri wake ni wa kifisadi au wa kihalali nchi yetu inavyombo vya uchunguzi vitabaini ukweli!

Kuwa tajiri sio tatizo, tatizo umeupataje huo utajiri, huenda amekopa Bank, analima mazao ya biashara nk, au
 
Ha ha,jamaa wanaona daraja kuitwa la Dau ni dhambi kwelikweli,

basi liiteni daraja la mhagama
Daraja liitwe NSSF BRIDGE.
Fedha zilizotumika ni za makato yawadau wote wa NSSF na sio za huyo jamaa yenu.
Wazo la maradi lilikuwa la jopo la wataalam na sio yeye mwenyewe.
acheni ulimbukeni
 
Mkuu nimeisikia hiyo habari kwenye magazeti nikashtuka sana. Sina hakika zina ukweli gani ndani yake. Kama ni kweli basi kuna balaa kubwa. Nawe umeniongezea mshituko tena baada ya kuihusisha hii habari na huyu Dr. wangu wa mambo ya Masoko (Marketing) na Derm towers!!!
Derm Towers na Mlimani Towers zote hizi ni mali za mashemeji zake ambae wote wamepewa kazi za umeme na consultancy katika miradi mingi ya NSSF..
 
Ivi kweli watanzania tuna uwezo wa kufikili au tuna matatizo ya akili maana tunajadili gazeti bila hata kuchunguza habari ni sahihi au imetengenezwa kumiliki timu ulaya mnafikili ni kuuza nyanya sokoni kwa mtindo huu ccm watatuongoza mpaka kiama kwanza watu wameshagawanyika kiimani ukiwa dini flani utamchukua wa dini falani na ndicho nakiona hicho kinacho mponza da so ufisadi hakuna taalifa ya mkaguzi wa wa mahebu aliye toa taalifa ya dau kama kuna mtu ana kumbukumbu hiyo atukumbushe
mkuu hawa ni washabiki na wapuuzi, na ukishaingiza ushabiki popote uwezo wako wa kufikiri unapungua
 
Back
Top Bottom