Utajiri wa bioanuai ya msitu wa hifadhi ya Jozani Zanzibar

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
kima-punju-zanzibar.jpg

kima punju msitu wa Jozani, Zanzibar (Picha ya Idhaa ya Kiswahili/Priscilla Lecomte
Wakati ulimwengu umeadhimisha siku ya kimataifa ya bioanuai, tarehe 22, Mei, Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO, linatarajia kupandisha hadhi msitu wa hifadhi ya Jozani,Zanzibar ili uwe hifadhi hai ya kimaumbile ya kimataifa kutokana na utajiri wa bioanuai yake hususan kupatikana kwa kima punju au Red Colobus Monkey katika sehemu hii ya pekee ulimwenguni. Lakini msitu wenyewe ukoje? . mia
 
Back
Top Bottom