Utajiri usioonekana kwa watu wengi Tukuyu Mbeya

Malamba waterfalls.....napakumbuka hapo nishawahi kufika...mbeya hasa upande wa tukuyu kuna waterfalls za kutosha...usisahau kupanda mlima rungwe
Kunamilima sana kule nilichoka mno kupanda toka kule mtoni
 
Hayo maporomoko yamefanana sana na maporomoko ya kaporogwe
hivi hapo ni kapologwe au malamba waterfalls...sina kumbukumbu vzr maana nilipita kapologwe,malamba,kiteputepu bridge,malasusa waterfalls,God's bridge,kijungu,mountain rungwe,ziwa nyasa......nakumbuka hapo ni malamba lakini
 
Mimi huko malamba sijafika lakini kaporogwe tulikuwa tunakwenda picnic kama darasa mimi nimesoma lutengano
 
kungekuwa na mpango wa serikali kuzalisha umeme kupitia microhydro power plants. huku kungewasha umeme Mbeya yote na ungebaki. Rungwe na mkoa wa Njombe kuna hydropower potential kubwa sana. ni vile tu tumezubaazubaa.
 
Highlander regions. Is very potential. My home, my origin. Kukabale twe bhika nu rungwe
 
Mimi huko malamba sijafika lakini kaporogwe tulikuwa tunakwenda picnic kama darasa mimi nimesoma lutengano
lutengano naendaga sana.pale kuna tich anaitwa JJ..ndo hasa tulikuwa tunaenda nae kutembea...shule ipo karibu na barabara yavumbi si ndo hapo?.boarding school...sina hata week 2 nimetoka pale..
 
lutengano naendaga sana.pale kuna tich anaitwa JJ..ndo hasa tulikuwa tunaenda nae kutembea...shule ipo karibu na barabara yavumbi si ndo hapo?.boarding school...sina hata week 2 nimetoka pale..
Mimi nilisoma miaka ya 80 sisi tulikuwa ni batch la nne kumaliza form four enzi za Mwalimu lyata, maembe, n.k.
 
dAHH,, hzo waterfalls zimenihamasisha sana kufanya utalii wa ndani.,,kweli Tz is blessed bt .....
 
Nami nimepita Tukuyu, HAKI YA MUNGU NITARUDI. Niombe uzima tu. Mungu kaibariki Tukuyu kuanzia hali ya hewa mpaka chakula na maeneo ya kivutia.
 
Back
Top Bottom