Utajiri ni dhambi? Na kwanini watu wahangaike kuutafuta? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utajiri ni dhambi? Na kwanini watu wahangaike kuutafuta?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Peter Agostino, Apr 11, 2017.

 1. P

  Peter Agostino Member

  #1
  Apr 11, 2017
  Joined: Sep 23, 2016
  Messages: 51
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 25
  Ijapokuwa kila binadamu tangu kuzaliwa dhamira yake kubwa ni kufanikiwa maishani, lakini hilo si watu wengi wanaopenda kuliweka wazi, sababu ambayo pengine ndiyo inayosababisha kweli kushindwa kupata mafanikio kifedha au kutajirika.

  “Unajua dhamira au lengo si tu linapaswa kuwekwa rohoni bali ikibidi hata wakati mwingine ulitamke waziwazi watu wakusikie ndipo kweli litokee kuwa kweli. Kujidai eti utajiri ni dhambi ilhali mioyoni tunatamani kuupata, huo ni unafiki.”

  Tafadhali ungana na mimi katika mjadala huu mzito kwenye blogu yako ya jifunzeujasiriamali kufahamu ikiwa ni dhambi au siyo dhambi mtu kumiliki utajiri wa pesa na mali hapa dunini. Bonyeza hayo maandishi kusoma makala hiyo.
   

  Attached Files:

 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...