Adolfms
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 374
- 560
Ndugu zangu, dhana inayofanyika mpaka mtu anapata UTAJIRI kutoka kwa mganga. Hii ipoje kwa anayejua? Pia, mie najiuliza hawa waganga huwa wanaona nini hasa kipindi wanamuagua mtu.
Kama wewe unapeleka mnyaa then yeye anakwambia matatizo yako au matamanio yao. Au kutumia kuku!? Tujadili kama kweli issue hizi zipo au ni kiini macho tuu. Tumia kufikiri kwa mtizamo wa kiafrica zaidi