Utajari wa Muna Love

Muna hapo na ukikutana naye uso kwa uso tofauti sio mweupe sana huyo cameraman wake
 
Ila wanazengo kwa tunaomjua muna alikotoa mwenzangu bibie kapiga hatua bwana, muna siku hizi Ana damshi, muna huyu sio muna Yule wa zaman Mbeba mapochi ya Wema sepetu, yani life lake limebadilika kwa asilimia kubwa na nadhani yeye anaweza kumuajiri Wema na yeye ambebee mapochi, lol .

Ila Shoga nae alishawahi kudaiwa kujihusisha na biashara haramu ya madawa ya kulevya, maana muna pesa kashika sana huyu dada , anaendesha magari ya thamani ata anapokaa mashallah si haba, yani inshort muna ni kati ya mastaa wachache bongo ambao they are living the best life.

Ila shoga yetu Sasa anachofanya mjini hakujulikani, ye ukimuuliza shosti mbona unadamshi ebu tupe siri na sie wanazengo, Bibi Yule anakwambia ni mambo ya Yesu, mmh bibie huyu anatufanya wajinga, kama kuokoka ndo ungekua kila mtu anaishi maisha yale basi jiji zima la dar lingeokoka maana sio kwa ugumu huu wa maisha .

Sitaki kumchimba sana mtumishi wa Mungu , wala kugusia maisha yake yaliyopita, cha muhimu kaamua kumrudia Mungu( kama kweli ) basi mie sina shida nae, Ila nae aombe nisipate umbea wake , atajuta mjini apa.View attachment 1097854
Cyberbullying is the new cool in town
 
Ahahah Mimi I don't care , Sasa kama mange anayeitikisa nchi watu hawamfanyi kitu sembuse Mimi ninayedili na mastaa wa Darasa la nne, mxieew 🤣
Hahahahahha !! Siwez kuangaika na mange,hata mimi bado niko shule ya msingi
 
Uno la gwajiboy feni mbovu cha mtoto.

Gwajiboy kajinyakulia sifa na siyo fedhea

Kachafua Kanisa braza trust me, sema kwa sababu dini ni kama ulozi flan hivi....bado tutaendelea kumchangia hela ya kushoot movie nyingine.
 
Back
Top Bottom