Utailingalisha UDSM na chuo gani? UDSM chimbuko la viongozi na walimu wetu wote.

Wilinasi Petroleum

JF-Expert Member
Sep 3, 2016
207
197
Kumekuwa na baadhi ya watu wamekua wakiibeza sana UDSM, wakati hata malecture wao, ma professor wao, ma doctor wao wamesoma UDSM, au walimu wa walimu wao nao pia wamesoma UDSM, lkn pia bila kujua kuwa hata wakuu wao wa mikoa, wakuu wao wa wilaya, makatibu wao, walimu wao wa sekondari, wote wamesomea UDSM. Lkini pia wamesahau kuwa hata viongozi karbia wote wa nchi hii wamesomea UDSM. Ndugu yangu kama sio UDSM hio UDOM isingekuwepo, walimu karbia wengi wa UDOM wamesoma UDSM, hiyo IFM, CBE, TIA, ST JOSEPH, N.K zisinge kuwepo kama sio UDSM.

The University of Dar es Salaam (UDSM) is a public university in Dar es Salaam, Tanzania. It was established in 1961 as an affiliate college of the University of London. The university became an affiliate of the University of East Africa (UEA) in 1963, shortly after Tanzania gained its independence from the United Kingdom. In 1970, UEA split into three independent universities: Makerere University in Uganda, the University of Nairobi in Kenya, and the University of Dar es Salaam.

Naipenda UDSM, huwa najivunia napo fundishwa na mwalimu aliye somea UDSM. Mungu ibariki UDSM Mungu wabariki walimu wa UDSM.
 
Watu kama wewe ndo mnafanya hii nchi isiendelee, fanya kazi maana ni ulimbukeni wa kiwango cha juu sana kuanza kulinganisha vyuo. Mfyuuuuuuuuuuu!
 
Uzuri mimi snaga tatizo na tusi la mtu, ila nitabase kwenye ukweli, imekua ina kera sana, anatokea mtu amesoma chuo cha KUBAHATISHA anaanza kuiponda UDSM.
 
Umewahi kujiuliza sababu za kubeza UDSM
N mara nyingi wanao kibeza ni wale walio kosa nafasi ya kukisoma, kwa sababu cut point zao hazikuruhusu. kiukweli hata kwenye udahili UDSM is the best, wanachukua wanafunzi wenye cut point za juu, wanafunzi walio soma shule za vipaji kama vile KIBAHA, MZUMBE, TABORA GIRLS, TABORA BOYS, ILBORU na shule zingine ila walio fauru sana ndio utawakuta UDSM.
 
Division 3 zipo kibao hapo usitake tuanze kusema sasa.... miaka hii miwili ilopita ndio kidogo utawez kuniambia kuwa wamechukua wengi wenye 1 na 2
 
N mara nyingi wanao kibeza ni wale walio kosa nafasi ya kukisoma, kwa sababu cut point zao hazikuruhusu. kiukweli hata kwenye udahili UDSM is the best, wanachukua wanafunzi wenye cut point za juu, wanafunzi walio soma shule za vipaji kama vile KIBAHA, MZUMBE, TABORA GIRLS, TABORA BOYS, ILBORU na shule zingine ila walio fauru sana ndio utawakuta UDSM.
Ukwel mtupuuu
 
Huwezi kulinganisha na chuo chochote maana ndo kimetupatia kiongozi JIWE uncle Magu.
 
Kumekuwa na baadhi ya watu wamekua wakiibeza sana UDSM, wakati hata malecture wao, ma professor wao, ma doctor wao wamesoma UDSM, au walimu wa walimu wao nao pia wamesoma UDSM, lkn pia bila kujua kuwa hata wakuu wao wa mikoa, wakuu wao wa wilaya, makatibu wao, walimu wao wa sekondari, wote wamesomea UDSM. Lkini pia wamesahau kuwa hata viongozi karbia wote wa nchi hii wamesomea UDSM. Ndugu yangu kama sio UDSM hio UDOM isingekuwepo, walimu karbia wengi wa UDOM wamesoma UDSM, hiyo IFM, CBE, TIA, ST JOSEPH, N.K zisinge kuwepo kama sio UDSM.

The University of Dar es Salaam (UDSM) is a public university in Dar es Salaam, Tanzania. It was established in 1961 as an affiliate college of the University of London. The university became an affiliate of the University of East Africa (UEA) in 1963, shortly after Tanzania gained its independence from the United Kingdom. In 1970, UEA split into three independent universities: Makerere University in Uganda, the University of Nairobi in Kenya, and the University of Dar es Salaam.

Naipenda UDSM, huwa najivunia napo fundishwa na mwalimu aliye somea UDSM. Mungu ibariki UDSM Mungu wabariki walimu wa UDSM.
Hii ligiii umeyoanzisha mzeee ngoja wajee wenyewe,,,,, watu hapa lazima watoke na ban
 
UDSM haita kaa ikusaidie tena katika maisha yako. Wewe tumia maarifa uliyo yapata uende mbele.
"Education is business like other business"
 
Hivi ukipanga usome masters ktk vyuo vya ndani utaenda chuo gani, mkuu? Mimi bado nauhitaji msaada wa UDSM maana nina mpango wa kuchukua masters yangu, hapo, kwa hapa bongo sjaona chup chenye unafu kwa masters UDSM ndio kila kitu, sipendi kuanza kuulizwa hivi hii ni masters ya chuo gani??
 
Mtu anayelinganisha vyuo vya tanzania namwona kama bado anautoto mwingi tu kichwani...kwani vyote kwa sasa vinazalisha graduate wa aina moja
Ni namna ya kupunguza stress na kujifariji na kupunguza stress za msoto wa kitaa baada ya kukosa kazi

Wazoee tu mkuu wakikua wataacha
 
Kumekuwa na baadhi ya watu wamekua wakiibeza sana UDSM, wakati hata malecture wao, ma professor wao, ma doctor wao wamesoma UDSM, au walimu wa walimu wao nao pia wamesoma UDSM, lkn pia bila kujua kuwa hata wakuu wao wa mikoa, wakuu wao wa wilaya, makatibu wao, walimu wao wa sekondari, wote wamesomea UDSM. Lkini pia wamesahau kuwa hata viongozi karbia wote wa nchi hii wamesomea UDSM. Ndugu yangu kama sio UDSM hio UDOM isingekuwepo, walimu karbia wengi wa UDOM wamesoma UDSM, hiyo IFM, CBE, TIA, ST JOSEPH, N.K zisinge kuwepo kama sio UDSM.

The University of Dar es Salaam (UDSM) is a public university in Dar es Salaam, Tanzania. It was established in 1961 as an affiliate college of the University of London. The university became an affiliate of the University of East Africa (UEA) in 1963, shortly after Tanzania gained its independence from the United Kingdom. In 1970, UEA split into three independent universities: Makerere University in Uganda, the University of Nairobi in Kenya, and the University of Dar es Salaam.

Naipenda UDSM, huwa najivunia napo fundishwa na mwalimu aliye somea UDSM. Mungu ibariki UDSM Mungu wabariki walimu wa UDSM.
Na hawa viongoz waliolifikisha taifa hapa nao wameaomea UDSM. Sasa sjajua kwamba kusoma UDSM ndo kuwa bora kuliko wengine...
 
Watu mnaoanzisha nyuzi za kujisifia vyuo huwa mko weupe sana vichwani kwahio mnaamua kutumia chuo ulichosoma kuficha ujinga wako..

Watu wenye akili hawahitaji kujisifia vyuo walivyosoma ili tujue wako vizuri..

Post zao tu zinajidhihirisha wako vizuri.
Sasa mzee baba hapo huna kitu kichwani kazi kusifia sijui UDSM ,SUA ,UDOM N.K
 
True say..ni sawa na mtu mwenye pesa,haitaji kupiga makelele ili mjue anapesa.
 
Back
Top Bottom