Wilinasi Petroleum
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 207
- 197
Kumekuwa na baadhi ya watu wamekua wakiibeza sana UDSM, wakati hata malecture wao, ma professor wao, ma doctor wao wamesoma UDSM, au walimu wa walimu wao nao pia wamesoma UDSM, lkn pia bila kujua kuwa hata wakuu wao wa mikoa, wakuu wao wa wilaya, makatibu wao, walimu wao wa sekondari, wote wamesomea UDSM. Lkini pia wamesahau kuwa hata viongozi karbia wote wa nchi hii wamesomea UDSM. Ndugu yangu kama sio UDSM hio UDOM isingekuwepo, walimu karbia wengi wa UDOM wamesoma UDSM, hiyo IFM, CBE, TIA, ST JOSEPH, N.K zisinge kuwepo kama sio UDSM.
The University of Dar es Salaam (UDSM) is a public university in Dar es Salaam, Tanzania. It was established in 1961 as an affiliate college of the University of London. The university became an affiliate of the University of East Africa (UEA) in 1963, shortly after Tanzania gained its independence from the United Kingdom. In 1970, UEA split into three independent universities: Makerere University in Uganda, the University of Nairobi in Kenya, and the University of Dar es Salaam.
Naipenda UDSM, huwa najivunia napo fundishwa na mwalimu aliye somea UDSM. Mungu ibariki UDSM Mungu wabariki walimu wa UDSM.