Utailingalisha UDSM na chuo gani? UDSM chimbuko la viongozi na walimu wetu wote.

Aaron

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
3,020
2,000
Pole sana mdogo wangu....!!! Huwezi pima uwezo wa mwanafunzi wa chuo kikuu kwa point zilizompeleka chuo au GPA yake baada ya ya kuhitimu....!!
Kuna viti hamvijui juu ya elimu ya juu...na ndio maana vijana wengi mnaenda vyuo vikuu mkiwa na matokeo mazuri na kihitimu kwa gpa nzuri lakini kichwani hamna kitu.. Elimu ya chuo kikuu ni zaidi ya division iliyompeleka chuo au gpa yake...nakutakia mjadala mwema
 
Norton82

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
704
1,000

Unachosema sahihi mkuu, unamkuta mwanafunzi wa chuo kikuu anakuambia cha msingi afaulu , ukimuuliza hiki kitu kina maana gani? anakuambia mi nimemeza tu, huyo ndiyo kesho anaitwa mtaalamu hata alichosomea hakijui, ndiyo maana huwa sistaajabu kuona kazi nyingi zikifanywa na kampuni za kigeni, elimu yetu ina walakini mkubwa mno! mwalimu wa chuo kikuu anakufundisha kitu ambacho mpaka anamaliza hata siku moja hasemi in real life where you gonna apply it , so pathetic!
 
Wilinasi Petroleum

JF-Expert Member
Sep 3, 2016
207
250
Watu mnaoanzisha nyuzi za kujisifia vyuo huwa mko weupe sana vichwani kwahio mnaamua kutumia chuo ulichosoma kuficha ujinga wako..

Watu wenye akili hawahitaji kujisifia vyuo walivyosoma ili tujue wako vizuri..

Post zao tu zinajidhihirisha wako vizuri.
Sasa mzee baba hapo huna kitu kichwani kazi kusifia sijui UDSM ,SUA ,UDOM N.K
Huu uzi, ni mzuri sanaa, bado nahitaji, michango zaidi
 
Official Amo

JF-Expert Member
Aug 6, 2014
816
1,000
Wewe petroleum hebu jaribu kuwa msomi kwa ulimwengu huu ulipofikia huwezi kujaji akili ya mtu maishani kwa chuo alichosoma ...huko vyuoni hata maprofesa wamemezeshwa tu theories hata application ya elimu yao katika maisha hawawez kuitumia ...ila kila mtu yuko huku kuandika chochote humi...ni vizuri kwa upande wako
 
aka2030

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
2,060
2,000
Matatizo tulionayo yanatokana na wasomi na wanasiasa waliopikwa udsm
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom