Utahisi taifa stars kumbe wana mawazo ya kufa mtu vichwan mwao mungu awasitiri watoto wetu

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,900
21,991
USIONE UKAHISI WAMEPENDA KUCHEZA MPIRA BALIKUJILIWAZA NA MATATIZO YANAOENDELEA KILA SIKU KUHUSU ADA ZAO NA PESA ZA KUJIKIMU SIO WENGINE NI WATANZANIA WAISHIO URUSI AKA MOSCOW

mo1.jpg
 
Mbona habari haina mahusiano yenyewe kwa yenyewe

hao ni wadogo zetu wanasoma moscow ambako serikali inkomaa kupelka hela zao waendelee na masomo na wengine wamekaa huko miaka 5 wameamua kurudi yamewashinda wameamua kujianzishia timu ya mpira itakayokuwa ikiwaliwaza wakicheza na warusi
 
Back
Top Bottom