Utageuka tu kumwangalia

segwanga

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
2,789
729
Mwanamke anayeitwa Mikel Raffineli mwenye hipsi zinazotisha duniani kote. Mwanaume wanavunjika shingo kila anapopita mitaa ya huko kwa mjaruo Obama

mikel-ruffinelli-hips1.jpg
Jionee mwenyewe,si mchezo hakuna mambo ya kichina hapo,Kitu ORIJINO.Hii sijui namba ngapi vile maana namba nane ingekuwa afadhari.!!!!
 
Sisi wengne huwa tnapenda easy to carry(portability) so huyo hawez kutgeuza hata kdogo.

#Via my clean brain#
 
Mwanamke anayeitwa Mikel Raffineli mwenye hipsi zinazotisha duniani kote. Mwanaume wanavunjika shingo kila anapopita mitaa ya huko kwa mjaruo Obama

View attachment 81279
Jionee mwenyewe,si mchezo hakuna mambo ya kichina hapo,Kitu ORIJINO.Hii sijui namba ngapi vile maana namba nane ingekuwa afadhari.!!!!

Huyu akitoa nguo anaonekana anatisha sana,anyway wenye taste zenu kazi kwenu.
 
Mimi huyu hataaaa! Hanipati. Anayetaka kusikia harufu mbaya na amfuate. There is no way akawa msafi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom