Utafiti: Zanzibar ina changamoto kutatua matatizo ya Ukatili wa Kijinsia

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Utafiti uliofanywa na Chama cha Wanahabari Wanawake (TAMWA) Juni 2011 hadi Machi 2012;

Kuna changamoto kubwa katika Jamii za Zanzibar kwenye kutatua matatizo ya ukatili wa kijinsia.

Jamii zinagubikwa na usiri wa kueleza au kuyafikisha masahibu hayo mbele ya sheria na vyombo vya usalama.

Badala yake, makosa kama vipigo, ulawiti wa watoto husuluhishwa kwa utaratibu wa kifamilia maarufu kama muhali.
 
Tuwaachie baba mdogo na baba mkubwa wayamalize, hapo ndo pagumu.
 
Back
Top Bottom