Utafiti: Zaidi ya asilimia 87 ya wanaume huwa hawasafishi mikono wakitoka haja ndogo

Khahhh afu wanavopenda kutoa mikono kusalimia mabinti,.. Mbaya zaidi ni mtu mzima lakini unasikia harufu ya mikojo
 
mbona wanawake hawasafishi wakati wanashika papuchi zao wakati wa haja ndogo? au mnajidanganya na v
itoilet paper vyenu vya kufuta futa
 
Ndio maana mi sipendi kusalimiana nao kwa kushikana mikono. Ewwww. Jitahidini basi munawege mikono.

Sasa kuna tofauti gani kati ya kukushika mkono na kushika dudu wakati najisaidia haja ndogo, nipe reason ya kunawa mikono...
 
wanaume wachoma nyama kwenye mabaa na kwingineko wanaongoza kwa kutonawa mikono watokapo kujisaidia haja ndogo.Hali hii imenipotezea hamu ya kula nyama choma kwenye mabaa na sehemu nyingine za starehe.
 
Acha kujidanganya, na joto hili esp hapa daslam unyevu unyevu upo wa kutosha. Embu naweni bana msituletee bacteria.
We nawe! Huyo bacteria huko alikotoka ndo aje fanya makazi kwenye dushe?! Huyo bacteria labda atakuwa katumwa na aliyemtuma watu washamlia ubwabwa wa shughuli na kuiacha asset yake inatapatapa!
 
We nawe! Huyo bacteria huko alikotoka ndo aje fanya makazi kwenye dushe?! Huyo bacteria labda atakuwa katumwa na aliyemtuma watu washamlia ubwabwa wa shughuli na kuiacha asset yake inatapatapa!
Hahahhaha. Na hizo boxer zenu mnazorudia kuvaa kwa wiki nzima bila kufua, ndio bacteria wanakua wanazaliana humo.
 
I keep my winus extremely clean hakuna haja ya kunawa.

Ila mimi nina tatizo na wale watu wanatumbukiza vidole puani bila handkerchief. Tena hii hata warembo wamo, tunavumiliana tu
 
Hahahhaha. Na hizo boxer zenu mnazorudia kuvaa kwa wiki nzima bila kufua, ndio bacteria wanakua wanazaliana humo.
Ushaanza! Ina maana hadi leo ulikuwa hufahamu kwamba boxer ikiwa safi inapunguza nguvu za kiume?! Au utakuwa kasichana ka' Form II wewe usiyefahamu mambo ya kiutu uzima?! Ona sasa; umenifanya niongee mambo ya kikubwa hadharani! Kwanza boxer ikishakaa wiki 2 inatengeneza fume kabisa ya kuulia wadudu including hao bacteria na protozoa! Kwahiyo again; kunawa mikono ni kutafuta sifa!
 
Back
Top Bottom