Utafiti: What is a ‘normal’ sex life?

Nyadundwe

JF-Expert Member
Jan 16, 2008
222
252
Kuna thread/post nyingi humu zinazohusu ile shughuli pendwa - duration, frequency nk. Haya hapa matokeo ya utafiti. Unaweza kujitathmini kama uko normal au unapaswa ujiongeze. Ukitaka taarifa kamili, pitia link hii ya BBC.

What is a ‘normal’ sex life?
1.png
 
Me hata sijaelewa umeeleewa tu mwenyewe
Mkuu, labda nitoe tafsiri mfano

1. Asilimia mpaka tatu (watu 3 kati ya 100) ya watu hawapendi ngono
2. Katika ngono, asilimia mbili ya watu hufanya na Malaya, asilimia 9 na watu wasiojulikana, asilimia 53 baina ya watu walio katika mahusiano ya muda mrefu nk.
3. Asilimia 6.5 tu ya watu hufanya ngono mara 4 au zaidi kwa wiki. Zaidi ya asilimia 28 hufanya chini ya mara 2 kwa mwezi!
4. Asilimia mpaka 50 ya wanawake huongopa kufika kileleni. Ajabu hata wanaume (25 kati ya 100) nao hufake kufika kileleni.
5. Asilimia 3.5 ya wanawake na asilimia 9 ya wanaume hujihusisha na ngono kinyume na maumbile. Asilimia 80 ya wanaume hupiga denda.
6. Tendo hudumu kwa muda wa dakika 15 - 30.
 
Mkuu mbona utafiti wenyewe hauna mashiko kwa huku tz maana issue za duration +frequency zinategemeana na wahusika

Ni kweli inategemeana ila utafiti unahusisha sample, representation ya population. Hauwezi kuhusisha kila muhusika.
 
Back
Top Bottom