Utafiti: Watoto wanaozalishwa na wanaume wazee huwa werevu

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,495
9,275
Wanaume wanaochelewa kuanza familia wana uwezo wa kupata wavulana werevu kulingana na utafiti.
Watoto hao huwa werevu, wenye malengo kulingana na utafiti huo uliofanywa na chuo cha Kings College mjini London.

Umri wa mama huwa hauna athari yoyote na wasichana huwa na kinga.
Mwanasayansi mmoja anasema kuwa wanaume wataendelea kuchelewa kuanzisha familia basi tunaelekea katika jamii yenye watu werevu mno watakaoweza kusuluhisha matatizo duniani.

Matokeo ya utafiti huo ni habari njema katika sayansi ya kuchelewa kuanzisha familia.
Tafiti zilizorejelewa zimeonyesha kuwa manii ya mtu mzee hukumbwa na matatizo ya jeni na kwamba watoto huzaliwa na ugonjwa wa kiakili.

Watafiti waliwaangazia pacha 15,000 walioshiriki katika utafiti uliokuwa ukichunguza ukuwaji wao.
Kundi hilo la watafiti baadaye walichapisha tabia za watoto hao wakati wakiwa na umri wa miaka 12 .

Wale waliochunguzwa walionekana kufanya vyema shule hususana katika masomo ya sayansi, teknolojia, uhandisi na uhasibu.

bbc swahili
 
Hii ina ukakasi
 
Hapa sijaelewa naona kama inapingana na maelezo yake
 
Tafiti fake Kuna mtoto wa mlemavu fulani hata Shule alikataa... na wengine niliowaona haswa watoto wa walemavu omba omba ndio dah huruma
 
Mtoa mada kama umezaa na mzee au una plan za kuzaa na mzee we jiandae kuwa na mtoto mwenye matatizo ya akili
 
Wanaume wanaochelewa kuanza familia wana uwezo wa kupata wavulana werevu kulingana na utafiti.
Watoto hao huwa werevu, wenye malengo kulingana na utafiti huo uliofanywa na chuo cha Kings College mjini London.

Umri wa mama huwa hauna athari yoyote na wasichana huwa na kinga.
Mwanasayansi mmoja anasema kuwa wanaume wataendelea kuchelewa kuanzisha familia basi tunaelekea katika jamii yenye watu werevu mno watakaoweza kusuluhisha matatizo duniani.

Matokeo ya utafiti huo ni habari njema katika sayansi ya kuchelewa kuanzisha familia.
Tafiti zilizorejelewa zimeonyesha kuwa manii ya mtu mzee hukumbwa na matatizo ya jeni na kwamba watoto huzaliwa na ugonjwa wa kiakili.

Watafiti waliwaangazia pacha 15,000 walioshiriki katika utafiti uliokuwa ukichunguza ukuwaji wao.
Kundi hilo la watafiti baadaye walichapisha tabia za watoto hao wakati wakiwa na umri wa miaka 12 .

Wale waliochunguzwa walionekana kufanya vyema shule hususana katika masomo ya sayansi, teknolojia, uhandisi na uhasibu.

bbc swahili

Usipotoke mtu kwa post hii. Mambo yaweza kuwa kinyume kabisa. Kisayansi Professor na Proffessoressa wakioana anaweza tokea mtoto taahira. Handsome vs Mlimbwende wakapata butu tofauti na matarajio.

Mbegu za wazee na Mama wazee huweza toa vipofu, zezet*, walemavu na wenye mtindio wa ubongo.

Soma hii;

While further research is needed, studies suggest that a father's age at the time of conception (paternal age) might pose health risks for his children.

For example, studies have shown that the offspring of men over age 40 might face an increased risk of:

  • Miscarriage. Some research suggests that advanced paternal age is associated with a slightly higher risk of miscarriage.
  • Autism. Research shows a link between advanced paternal age and an increased frequency of autism.
  • Birth defects. Although the overall risk is exceedingly low, older men appear to be more likely to father babies who have certain rare birth defects — such as the bone growth disorder achondroplasia.
  • Schizophrenia. Children born to older men seem to be more likely than children of younger men to develop the brain disorder schizophrenia.
 
katika tafiti hizi zote hakuna yangu hata moja nazidiwa na twaweza nami kesho naweka utafiti wangu juu ya pombe ya ulanzi na mbege
 
Usipotoke mtu kwa post hii. Mambo yaweza kuwa kinyume kabisa. Kisayansi Professor na Proffessoressa wakioana anaweza tokea mtoto taahira. Handsome vs Mlimbwende wakapata butu tofauti na matarajio.

Mbegu za wazee na Mama wazee huweza toa vipofu, zezet*, walemavu na wenye mtindio wa ubongo.

Soma hii;

While further research is needed, studies suggest that a father's age at the time of conception (paternal age) might pose health risks for his children.

For example, studies have shown that the offspring of men over age 40 might face an increased risk of:

  • Miscarriage. Some research suggests that advanced paternal age is associated with a slightly higher risk of miscarriage.
  • Autism. Research shows a link between advanced paternal age and an increased frequency of autism.
  • Birth defects. Although the overall risk is exceedingly low, older men appear to be more likely to father babies who have certain rare birth defects — such as the bone growth disorder achondroplasia.
  • Schizophrenia. Children born to older men seem to be more likely than children of younger men to develop the brain disorder schizophrenia.
Mkuu nimepotosha kwa kipi labda hapo? Kuna mahali hapo kwenye habari nimeandika kwamba hayo ni maneno yangu? Hujaona chanzo cha hyo habari ni wapi au umekurupuka tuu bila kutumia akili wala ubongo wako kidogo kuelewa kilichowasilishwa. Umenichefua sana aisee
 
Back
Top Bottom