Utafiti: Watanzania tunaweza kutawaliwa na Wakenya kwa miaka ijayo usalama wa Taifa upo hatarini

Mbona hiyo kitu ilikuwepo kitambo sana. Sisi wenyeji tunajua sana na inatusaidia kiasi fulani. Na hii inatikana kwa sababu unakuta mtu kafikisha labda miaka zaidi ya 50 bila kuoa. Kwa vile kule kenya kuna shida nyingi hususani ya Ardhi tunaenda kuzoa ukoo tunakuja tuletaaa

Maisha ni simple sana huku kwetu trm
 
Hii ni mipakani pote hapa nchini. Watu wanaintermarry mipakani. Alafu hata tamaduni na makabila unakuta wanaendana ndyo maana wanaowana.

Nenda Kigoma, wengi wameowana na warudi. Kagera wengi wameowana na waganda na wanyankole. Nenda kaskazini kunawamasai hawa ndyo wamejichanganya na wakenya. The list goes on.
 
Shida sio kuoa,shida ni kuoa mwanamke ambaye amezalia nchini kwake unaenda unaoa mwanamke na watoto ambao hajazaliwa na Watanzania na kuja huku kuwa-term kama raia wa Tanzania na kubadilisha majina yao ili yaendane na ukoo au familia za Watanzania,kiasili au ki-DNA hawana utanzania hata kidogo then miaka ijayo ndo wanakuwa viongozi wa Tanzania hatuoni hii ni hatari
 
Mbona Kenya hakuna kitu kama hiki?
Kenya wakurya wapo wengi tu kuna mmoja nilisoma nae chuo pande zile anasema kwao Tanzania ila shule kuanzia msingi alisomea upande wa Kenya ndo akaenda hivyo hadi chuo hata ongea yake ni kama ya wakenya bila kua na ukaribu nae huwezi jua........mimi niliweza kumfahamu sababu tulikua hostel moja na akawa rafiki ....alipojua mimi mbongo na yeye ndo akafunguka yeye kazaliwa Tanzania hata familia yake ipo Tanzania ila amekulia Kenya na kwa wakenya wengine hua anajitambulisha tu kama Mkenya.............hizo ishu kwa jamii za mipakani kawaida sana kwa upande ule kuna wakurya na wajaluo wanaingiliana sana ......kuna WaTanzania wengi upande wa Kenya kuliko wakenya walio Tanzania
 
Kwenye System wewe umeingiza taarifa zako,za watoto wako ,baba yako na mama yako,vile baba yako na mama yako watafanya kama unavyofanya wewe.Hata mama yao naye atafanya vile vile kama wewe.

Watoto wako watadakwa kwenye taarifa za mama yao ambaye yupo Kenya,sababu za kwako wanazo ambazo zina point ktk vizazi vinavyo kuunganisha ww na vilivyopita vya ukoo wenu,ila hawatakuwa na taarifa ambazo zinazo point vizazi vilivyopita na vinavyo muunganisha mama yao hapo ndipo wanapodakwa.Ila kama wamezaliwa hapa by default ni raia wa Tanzania.

System huwezi kuidanganya hata mara moja.
Ukioa mwanamke anabaki Kenya?
 
Kenya wakurya wapo wengi tu kuna mmoja nilisoma nae chuo pande zile anasema kwao Tanzania ila shule kuanzia msingi alisomea upande wa Kenya ndo akaenda hivyo hadi chuo hata ongea yake ni kama ya wakenya bila kua na ukaribu nae huwezi jua........mimi niliweza kumfahamu sababu tulikua hostel moja na akawa rafiki ....alipojua mimi mbongo na yeye ndo akafunguka yeye kazaliwa Tanzania hata familia yake ipo Tanzania ila amekulia Kenya na kwa wakenya wengine hua anajitambulisha tu kama Mkenya.............hizo ishu kwa jamii za mipakani kawaida sana kwa upande ule kuna wakurya na wajaluo wanaingiliana sana ......kuna WaTanzania wengi upande wa Kenya kuliko wakenya walio Tanzania
Huyo ni raia wa wapi mpaka sasa,je ikitokea akawa kiongozi Kenya nini kitatokea Kenya? Huyu anaweza kuuza nchi maana siyo raia wa nchi hiyo,haya mambo siyo ya kuchukulia kawaida hata kidogo,uzalendo ni muhimu kwa Taifa lolote
 
Nina kaka yangu anaishi Kenya watoto wake ni maaskari, tena mwingine ni luteni kanali kabisa, wamejenga huku huwa wanakuja wakiwa likizo.
 
Huyo ni raia wa wapi mpaka sasa,je ikitokea akawa kiongozi Kenya nini kitatokea Kenya? Huyu anaweza kuuza nchi maana siyo raia wa nchi hiyo,haya mambo siyo ya kuchukulia kawaida hata kidogo,uzalendo ni muhimu kwa Taifa lolote
Mbona Obama hakuuza Marekani?
 
Labda hujaelewa mada,mtu anaenda Kenya anaoa mwanamke ambaye alisha zaa na wanaume wa Kenya halafu mwanaume wa Tanzania anaenda Kenya anaoa mwanamke na watoto wake wote na kuwaleta Tanzania,je hiyo sio hatari kwa usalama wa Taifa

Angeoa mwanamke asiye na mtoto akaja akazaa watoto Tanzania hiyo kisheria inaruhusiwa,lakini unaoa mwanamke na watoto wake na kuja kuwaita Watanzania ,huo uzalendo uko wapi,ni hatari sana hii
Hao wanaishiaga level za chini sana .....kupanda ngazi za juu kwenye taifa ni ngumu sio threat kihivo ndo maana wengi wao utawakuta pande za hukohuko mipakani au hata akijichanganya huku kwingine hawaendagi mbali sana
 
Siku mmoja wao akawa kiongozi wa kitaifa mambo yao yataeleweka tu maana si wazawa
 
Hadi afike hapo lazima kapigwa mchujo wa kueleweka na ndo maana sio wengi wanaenda kwenye hizo nafasi kama wanajua kabisa background zao zina utata........wengi huishia tu level za chini ambazo sio threat kabisa
 
Kikwete aliona threat ya wanyarwanda akaja na Operation kimbunga, Huu ni wakati wa kuchukua maamuzi magumu ili kulinda Vizazi vijavyo imagine wakati wa mkwere kuna watu wa rwanda walipenya haswa na kufikia top position kwenye Majeshi yetu, Jasiri haachi asili Kama hawa watu wanafika na kuhold Sensitive positions ivi hio ni hatari sana Nashauri Ianzishwe operation tufagie hao watu afu sio huko tu hata ukiangalia shule za English medium kenyans wapo sana na haka ka mchakato ka nida ndo kamefanya wamepata nida namba na wamejikausha kavu na majina ya kina Wanjiku, samoei wameyatoa kabisa hatukatai wageni kama wana vibari vya kuishi ili sio kukaa hapa kienyeji na kujivika utanzania ambao mtu anaweza kufata taratibu na aka upata utanzania sasa wakienda kinyemela wanakuwa termed as citizen by birth ni hatari
 
Huyo ni raia wa wapi mpaka sasa,je ikitokea akawa kiongozi Kenya nini kitatokea Kenya? Huyu anaweza kuuza nchi maana siyo raia wa nchi hiyo,haya mambo siyo ya kuchukulia kawaida hata kidogo,uzalendo ni muhimu kwa Taifa lolote
Jamaa hana plan na Tanzania mambo mengi amebase Kenya .......Hao wengi wanaangalia sehem zenye maslahi kwao( watafutaji wa kawaida tu) sijaona threat yao yeyote maana wengi hawanaga plan kwanza za kushika sehem nyeti kwenye nchi wanakuaga raia wa kawaida tu
 
Kikwete aliona threat ya wanyarwanda akaja na Operation kimbunga, Huu ni wakati wa kuchukua maamuzi magumu ili kulinda Vizazi vijavyo imagine wakati wa mkwere kuna watu wa rwanda walipenya haswa na kufikia top position kwenye Majeshi yetu, Jasiri haachi asili Kama hawa watu wanafika na kuhold Sensitive positions ivi hio ni hatari sana Nashauri Ianzishwe operation tufagie hao watu afu sio huko tu hata ukiangalia shule za English medium kenyans wapo sana na haka ka mchakato ka nida ndo kamefanya wamepata nida namba na wamejikausha kavu na majina ya kina Wanjiku, samoei wameyatoa kabisa hatukatai wageni kama wana vibari vya kuishi ili sio kukaa hapa kienyeji na kujivika utanzania ambao mtu anaweza kufata taratibu na aka upata utanzania sasa wakienda kinyemela wanakuwa termed as citizen by birth ni hatari
Hapo shida inakua sio wao shida ni huyo MTanzania aliewafanyia mchakato wa kupata hizo i.d
 
Back
Top Bottom