Kajolijo
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 3,364
- 4,612
Utafiti nilioufanya mimi mwenyewe locally nimebaini haya, watanzania wanapenda kuishi kwa matukio, tukio hili likija litajadiliwa bila kupata jawabu, likija lingine wanaacha la nyuma na kudandia hili, pia nimegundua pia watanzania wengi wanapenda kulalamika sana paspokujiuliza kwanini kitu kimekuwa kilivo na jawabu lake ni nini... kama unabisha subiri lingine lije wataacha hili tukio lililopo sahizi na kudandia hilo..
Chanzo ni nini, kwa mtazamo wangu ni aina ya elimu tunayopata na mazingira tuliyokulia..
Huu ni utafiti wangu mwenyewe niliofanya mwenye kubisha karibu uje na hoja usije kulalamika tu na kulaum
Chanzo ni nini, kwa mtazamo wangu ni aina ya elimu tunayopata na mazingira tuliyokulia..
Huu ni utafiti wangu mwenyewe niliofanya mwenye kubisha karibu uje na hoja usije kulalamika tu na kulaum