Utafiti waonesha Lowassa awatimulia vumbi Membe na Pinda

Tema Mate

Senior Member
Dec 19, 2013
107
193
Breaking News: Kutoka Ukumbi wa City Star Hotel, Mwigulu azidi kuongoza katika Mbio za urais 2015 kwa vijana na Lowassa Aongoza kura za jumla. Utafiti uliofanywa na Positive Thinkers Tanzania (PTT) na imedhihirishwa ni kipenzi cha wasomi, , vijana na watu wazima kwani utafiti umeonesha kuwa mh Mwigulu amepigiwa kura na wanavyuo 92, stashahada 209 na cheti 142 wakifutiwa na wananchi wenye elimu ya sekondari
 
Attachments

  • Studio_20150329_122100.jpg
    Studio_20150329_122100.jpg
    109.3 KB · Views: 3,163
  • Studio_20150329_122034.jpg
    Studio_20150329_122034.jpg
    238.5 KB · Views: 2,916
  • Studio_20150329_122002.jpg
    Studio_20150329_122002.jpg
    288.1 KB · Views: 4,022
  • Screenshot_2015-03-29-12-18-46.jpg
    Screenshot_2015-03-29-12-18-46.jpg
    233.6 KB · Views: 2,615
duuuuu lowasa on the way zitto kweli kawa mzitoo kwa halii hii tunaendelea kumpoteza zito asitegemee kitu huuu mwaka ukiisha mwakani utakuwa mwaka wa maumivu kwa zito
 
Haya nenda kanywe kahawa. January hawezi kuamini kabisa lazima a update statusbfb kuhusu haya matokeo
 
Breaking News: Kutoka Ukumbi wa City Star Hotel, Mwigulu azidi kuongoza katika Mbio za urais 2015 kwa vijana na Lowassa Aongoza kura za jumla. Utafiti uliofanywa na Positive Thinkers Tanzania (PTT) na imedhihirishwa ni kipenzi cha wasomi, , vijana na watu wazima kwani utafiti umeonesha kuwa mh Mwigulu amepigiwa kura na wanavyuo 92, stashahada 209 na cheti 142 wakifutiwa na wananchi wenye elimu ya sekondari

Huu utafiti una madhaifu mengi, kama lowassa angeongoza isingekua kwa kigezo cha Kupambana na ufisadi kwasababu ndio kigezo kikuu kilichotumika
CBQc9hUWAAEHmln.png:large
 
Back
Top Bottom