Utafiti wangu: Wanaume wenye wake wawili, watoto wao wa kike huwaiga kimahusiano

Kuziwa

JF-Expert Member
May 23, 2011
248
212
Habari wadau,

Huu ni utafiti wangu binafsi. Wanaume wengi ambao wana wake wawili, mabinti zao nao hawaogopi kuwa katika mahusiano ya aina hiyo.

Hapa namaanisha kuwa, binti anaweza kuingia kwenye mahusiano na mume wa mtu akiwa anajua kabisa kuwa wewe ni mume wa mtu, na akakubaliana na hali hiyo. Ukichunguza kwa umakini utagundua kuwa, baba wa binti huyo ana wake wawili.

Kuna uhusiano mkubwa kati ya tabia za mtoto wa kike na tabia za baba yake; mfano ni huo, pia baba akiwa malaya na tabia hii ikajulikana kwa mtoto wako wa kike, basi wewe kama mzazi usianze kusema watoto siku hizi hawana adabu, madhara hayo umesababisha mwenyewe.

Tutafakari kwa pamoja. Karibuni!
 
Saikolojia ya makuzi haisemi hivyo.

Haisemi baba atamrithisha tabia mtoto wa kike au wa kiume. Anayekosa wazazi mapema kabisa akiwa mchanga tabia atazo-display baadaye atakuwa kaziona kwa baba gani?

Ukijibu "Waliomzunguka na kumlea", hoja yako ya tabia hurithiwa kwa baba unakuwa umeipiga teke.

Fanya utafiti upya, safari hii ihusishe na Saikolojia.
 
And vise versa is true. Hili pia hutokea kwa watoto wa kiume; watoto wanatabia ya ku-copy kutoka kwa wazazi wao au watu wanaowazunguka katika makuzi yao, usikute hata wewe unaishi kwa tabia na matendo ya either baba au mama yako.
 
Ni kweli kua mazingira yana mchango wake katika makuzi ya watoto wetu, mazingira haya ya makuzi pia yanajumlisha nini watoto wanaona kutoka kwa wazazi, kumbuka hii ni sampo yangu, saikolojia yako ya makuzi inasemaje? tueleweshane
 
Upo sahihi kiongozi
 
Mimi sina 'Saikoloija yangu ya makuzi' kama ulivyoandika. Ila kwakua wewe umesema una sampo mimi nasema nakubaliana na wewe kila utakachoandika.
 
Subiri ebu nijaribu ofisini kuna manzi ina mkia wa maana nirafiki yangu sana, tayari ameolewa ila baba yake ana wake watatu. Nataka niprove huu utafiti ila sia nia ya kula mzigo.
 
Atacopy endapo kama mahusiano yahao wanaomzunguka (wazazi) wake yatakuwa naafya. Endapo kama baba anawake zaidi yammoja namaisha yanaenda mswano basi anaweza akacopy nahata yeye ikimtokea ulazima wakuingiapo kwenye mahusiano yahivyo basi awezi kujali sana
 
Subiri ebu nijaribu ofisini kuna manzi ina mkia wa maana nirafiki yangu sana, tayari ameolewa ila baba yake ana wake watatu. Nataka niprove huu utafiti ila sia nia ya kula mzigo.
Utuletee mrejesho mkuu! Ukishindwa fuatilia utagundua kitu.
 
Back
Top Bottom