Utafiti wangu: Wachambuzi wa mpira hawapendwi na wanawake kinachowalinda ni suti zao tu na muonekano

Taisho fuyaki

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
6,919
2,000
Huu ni ukweli mchungu wachambuzi wote wa mpira wa ligi kuu sio maarufu kwa wanawake wala hawawazimii ila kinachowalinda ni urefu wao na suti zao tu.

Sababu kuu wanawake wachache wanapenda mpira ila hawauelewi ule uchambuzi wa kitaalamu (professional football analysists) pia wanawake kama wote hawasikilizi wala kuangalia uchambuzi maana hawaelewi.

Hili ni pigo kwa tasnia ya uchambuzi wa mpira.

Weekend njema.
 

Taisho fuyaki

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
6,919
2,000
Edo Kumwembe na Shafii Dauda wanapendwa sana kwa sababu ya blogs zao pia Ali mayai tembele ni ule upole wake ila Edo Kumwembe anapendwa sana kwasababu ya ucheshi na uwanamageuzi wake katika siasa za Tanzania
 

Alvajumaa

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
3,303
2,000
Kwahiyo wasifanye kazi kisa hawapendwi na wanawake? Kijana una umri gani?
Kila mtu kwa nafasi yake yupo/wapo wanawake ambao wanapenda , hata wewe si maarufu lakini bado mtaani kwenu unapendwa,
Wangapi si maarufu na bado wanamsururu wa wanawake?
Mtoa maada ni janga
 
  • Thanks
Reactions: cmp

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
30,730
2,000
Rafiki yangu kashasha Ni mzee pia Ana komedi nyingi yeye Ni changamsha genge.
🤣🤣🤣🤣🤣 natamani nipate collection ya mechi zote alizochambua ili nicheke tu.

Eti ile inaitwa Side-collision kick,,yani mpira uliopigwa ukagonga mwamba. Medi alitumia Strain muscle force akanyoosha mguu na kupiga shuti maridhawa kabisa 🤣🤣🤣🤣 kwako jese.
 

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
4,774
2,000
Ukweli ni kuwa wanaume wachambua soka ni smart na watanashati mno, kwanini wasipendwe, acha wivu. Embu cheki wale wa supersport
 

KOLOKOLONI

JF-Expert Member
Mar 7, 2014
1,947
2,000
Huu ni ukweli mchungu wachambuzi wote wa mpira wa ligi kuu sio maarufu kwa wanawake wala hawawazimii ila kinachowalinda ni urefu wao na suti zao tu.

Sababu kuu wanawake wachache wanapenda mpira ila hawauelewi ule uchambuzi wa kitaalamu (professional football analysists) pia wanawake kama wote hawasikilizi wala kuangalia uchambuzi maana hawaelewi.

Hili ni pigo kwa tasnia ya uchambuzi wa mpira.

Weekend njema.
Pole mwanahabari za Udaku na taarabu maana ndizo zinazopendwa na wanawake ila huwa mnaishia kuliwa jicho
 

Ngai Moko

JF-Expert Member
Mar 21, 2016
822
1,000
Ingekua vizuri pia ukatoa na ushauri kwa hao wachambuzi wa soka ni kazi gani wafanye ili wapendwe na waachane na uchambuzi, kuna kila dalili kuwa una waonea wivu na kama sio wivu huenda ulikuwa shemeji wa mchambuzi, na sasa dada yako amepigwa kibuti na mchambuzi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom