Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi masnitch wanasambaza Siri au vpFani ya udereva ina figisu na majungu sana yaani madereva wapo kama wanawake tabia za kichoko kama ukuwadi umalaya.
Maboss hawa hawa wanaojiona miungu-watu ndio uwaambie wajiendeshe?Ifike mahali ma boss wajiendeshe wenyewe.kuwe na madereva wachache tu kwa kazi ya kusambaza nyaraka. Madereva waliobakia wapewe kozi wawe makarani
Leakage nini mkuu sisi wengine kwenye ukoo wetu hakuna aliyewahi kumiliki GariNi uongo' kwa jinsi mfumo wa break unavyofanya kazi hilo suala ni haliwezekani kwasababu
leakage yeyote ikitokea kwenye mfumo itapunguza ujazo wa fluid ambayo itasababisha taa ya break fluid kuwaka na dereva ataona
Pia pakiwa na leakage yeyote kwenye mfumo ukikanyaga pedal ya break itakuwa inaendelea kushuka tu haisimami, inategemea na ukuwa wa leakage.
Nijuavyo mimi madereva wanaoanza kazi kwanza hawana uzoefu na pia hawajui dalili zozote za tatizo linaloanza ktk gari' ni mpaka tatizo liwe kubwa sana ndo atajua au apate ajali.
Hii haina tofauti yeyote na zile ajali zinazotokea mwezi 12, wengi wananunua magari na kuyatumia mijini na ikifika xmxss wanayaendesha kwenda makwao. Wanakosa uzoefu overtake alizokuwa anafanya akiwa dar anaendelea kufanya akiwa high way!
Matokeo yake anasema kalogwa, kama mleta mada!
Kongole mkuu, wakati wote wanapokuwa barabarani wanajifanya wanaharaka, hawajali alama za barabarani, kwenye 50 hawajali, na kinachoshangaza askari wa usalama barabarani huwa hawawakamati.Binafsi kikubwa nikijuacho hivi videreva vya serikali vikiwa kwenye Yale magari ya serikali navyo hujiona vimekuwa serikali.. Mimbio isiyo na maana, wrong overtakes na kuchomekea n.k n.k
Acha tu wapasuke..
Madereva wakongwe wanalegeza breki wenye magari (hao madereva wapya) wakiwa wapiWanachowafanyia ni ubaya wanalegeza pipe za breki zinamwaga mafuta kidogo kidogo hatimae ajali za kukosa breki zinaleta madhara.