figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,483
- 54,852
Salaam wakuu,
Nmefanya Uchunguzi binafsi kwa miaka mitatu. Nlikua nataka kujua sababu za Wanawake kujibadilisha ngozi ili wawe weupe.
Nlichogundua
1. Miezi sita ya kwanza wanakuwa na furaha.
2. Baada ya mwaka wanaanza kujuta hivyo wanaanza kubadilisha mafuta ili wawe kama miezi sita ya kwanza.
3. Baada ya mwaka wanaaza kutoa harufu kama duka la Dawa wengine uso unakuwa na Vidonda na makovu Usoni.
Mwisho wanaanza kuaribika sehemu za siri na saa nyingine huwa rambo.
MATOKEO YAKE
1. Mpenzi wake anaanza kumchoka
2. Fujo jinaanza kwenye mahusiano
3. Mwanamke anajifanya anaweza maisha na kwamba haambiliki, hashikiki na hasililiziki. Hasikii la mpiga adhana wala la mjumbe.
BAADAE SANA INAKUA HUVI
1. Anarukwa akili na kuongea maneno hayaeleweki, haoni aibu kucheza huko chupi ipo nje mbele ya watoto.
2. Kama alikua havai mawigi anaanza kuvaa Mawigi, kama alikua habandiki kucha anaanza kubandika kucha, kama alikuwa katulia, anaanza kubadilisha mabwana.
3. Anaanza kimtukana mime wake/mpenzi wake. Hatimaye anaanza maisha ya kukaa mwenyewe bila mume. Wanajiita single.
4. Anajiita mtu wa watu na kugawa bure alichopewa na Mungu bure. Na kuanza kuiga kila tabia mbaya.
5. Anapenda mapenzi kinyume na maumbile