Utafiti wabaini binadamu wa kwanza duniani alitokea barani Afrika nchini Tanzania

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,602
141,420
Hayo yamesemwa na mh Hasunga ambaye ni Naibu waziri wa Maliasili na utalii na kuthibitishwa na Mkurugenzi wa Makumbusho ya Taifa bwana Audax Mabula. Ni kwamba binadamu wa kwanza duniani aliishi Tanzania, hii ni habari njema na itaitangaza nchi yetu duniani kote. Source ITV habari!
 
Tatizo awamu hii kuanzia baba mpaka watoto ni 'Fix' tupu, taarifa zao zinahitaji independent source kabla ya kuzitembelea kifua mbele
 
Ngoja waje wajukuu wa Adam na Hawa maana hii itakuwa habar njema sana kwa wapenda kiki
 
Itakuwa ni kizazi cha vijana wa Ufipa, maana kila kizuri kinacho fanyika ndani ya nchi yao wanapiga.. Hizi ni dalili tosha binadamu wa kwanza aliishi mitaa ya Ufipa
 
Huyo binadamu alitokeaje, Science imasema yake, Historia inayakwake na Vitabu vya dini mambo ya uumbaji. Huyo binadamu alipatikanaje?
 
Huyo binadamu alitokeaje, Science imasema yake, Historia inayakwake na Vitabu vya dini mambo ya uumbaji. Huyo binadamu alipatikanaje?
Sayansi na historia vinamzungumzia mtu na Biblia ndio inazungumzia binadamu, kila binadamu ni mtu lakini si kila mtu ni binadamu, naomba niishie hapo kwa sasa!
 
Itakuwa ni kizazi cha vijana wa Ufipa, maana kila kizuri kinacho fanyika ndani ya nchi yao wanapiga.. Hizi ni dalili tosha binadamu wa kwanza aliishi mitaa ya Ufipa
Nadhan binadam wa kwanza atakua jiwe na alitokea pale magogoni na wa pili ni bashite

Furahi sasa!
 
Back
Top Bottom