Utafiti wa zika usipuuzwe hata kama alikosea kutangaza.

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
12,053
2,000
kama nilielewa vizuri. kwenye utafiti walisema walipima watu 533 na asilimia 15.6 walikutwa na virusi vya zika. Hiyo ni sawa na watu 83. pia katika watu hao 533, 80 walikuwa ni watoto wenye ulemavu. katika hao 80 wenye ulemavu, asilimia 43 walikutwa na virusi vya zika. hiyo ni sawa na watu 34.

hiyo inamaanisha katika watu 83 waliokutwa na virusi vya zika, 34 walikuwa watoto walemavu na 49 walikuwa wengine. hii inaonyesha kuna uhusiano mkubwa wa ulemavu na zika na tunahitaji kufanya utafiti zaidi. kwa lugha nyingine katika walemavu 80, 34 walikuwa na virusi na na kwa watu wengine 433 (533-80) ni 49 tu ndiyo walikuwa na virusi. inamaana hao watu wengine wangekuwa 80 kama walemavu, ni 9 tu wangukutwa na zika. inawezekana zika hazidogoshi vichwa vyetu na badala yake inatuletea ulemavu. tunahitaji utafiti zaidi kwenye hili.
 
NTEGEYE Jr

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
322
500

Huo ni ukweli Mchungu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom