Miss Madeko
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 4,314
- 5,523
Wewe na yeye nani bwege? wapeleke wasipeleke wewe yanakuhusu nini pamba na jiwe asiyetabirika . Rais wao amewafanya wawe na furaha haswwa ni mtu wa watu hana ubaguzi anauwezo wa kwnda hata Dandora bila bodigadi,
Acha wivu wa kijinga kabisa..... tena omba Mungu hiyo njaa ibaki huko huko maana ikifika huku hakuna hata chochote ila kwa wenzetu watapelekewa