Utafiti wa TADIP Urais 2015 wampa ushindi Lowassa kwa 54.5% dhidi ya Magufuli (40%)

hamna kitu hapo, naona wanataka mabishano pia ktk utafiti, TADIP- hiyo ni taasisi iliyomsimamia EL kipindi cha kura za maoni, in the sense that they got his back in one way or other, they cant publish something negative upon EL..

..twaweza nao wana mahusiano na January Makamba.
 
Acha tafiti zimwagike tena zile zinakinzana ili watu wajue utafiti bora ni sanduku la kura hapo octoba 25. Viva ukawa
 
..twaweza nao wana mahusiano na January Makamba.

Let's say yes. How about Synovate?

Kinachofurahisha ni kwamba, CHADEMA/UKAWA imekuwa kama CCM ya mwaka 2010 wakati wa kampeni.

CCM walipoambiwa kwenye utafiti wa Synovate kwamba mgombea wao ameshuka kutoka more than 80% mpaka 61% walipiga kelele kama hizi zinazopigwa na CHADEMA/UKAWA. At the end, matokeo yalibainisha ukweli wa tafiti ya Synovate.

Huwezi kutumia ulaghai kupambana na ukweli.
 
Synovate unaijua wewe? Soma hapa www.pspa.udsm.ac.tz/theafricanreview/assets/kenya-.pdf
 
NGO iitwayo TADIP (Tanzania Development Initiative Programme) iliyokuwa ikiratibu shughuli za kumtangaza Lowassa wakati wa Mchakato wa kura za maoni ndani ya CCM muda wowote leo itatoa matokeo yao ya utafiti wake katika Hotel ya Regency ambayo ndipo pia kundi la vijana wa 4U Movement wanapofanyia kazi zao. Taasisi hiyo ilinadaiwa kumpa LOWASSA 54% dhidi ya 40% ya Dr. MAGUFULI kwa mujibu wa mtoa habari wetu toka ndani ya 4U Movement.

Moja ya Vijana wa 4U Movement aliyeshiriki utafiti huo anadai uligharamiwa na Lowassa mwenyewe hivyo wamelazimika kutoa ripoti inayompendeza Mzee wao japo amesikitishwa sababu anasema taasisi hiyo ni changa mno ukilinganisha na TWAWEZA au IPSOS/SYNOVATE ambazo zinatambulika kimataifa.

Chanzo chetu ndani ya REGENCY Hotel.

we kinyesi cha nguruwe mke wa nape nenda huko na mumeo
 
Hahahahaaaa mmmmmhh kweli CCM wameshikwa pabaya!! Mara tamko la mashekhe mara tamko la Mtikila, leo tena TADIP!! Bado Aisha Mashauzi nae atatoa tamko;):cool:
 
Let's say yes. How about Synovate?

Kinachofurahisha ni kwamba, CHADEMA/UKAWA imekuwa kama CCM ya mwaka 2010 wakati wa kampeni.

CCM walipoambiwa kwenye utafiti wa Synovate kwamba mgombea wao ameshuka kutoka more than 80% mpaka 61% walipiga kelele kama hizi zinazopigwa na CHADEMA/UKAWA. At the end, matokeo yalibainisha ukweli wa tafiti ya Synovate.

Huwezi kutumia ulaghai kupambana na ukweli.

..cdm wanadai matokeo ya 2010 yalichakachuliwa.

..kwa hiyo huo utafiti wako wa Synavate nao tupa pembeni.

..mambo yote ni Oct 25, lakini hatutaki goli la mkono.
 
Sio wamempa hiyo ndio hali halisi na ndizo atakazoshinda October 25 tutakapompigia kura lowasa 54% magufuli40% hiyo ni haki kabisa ni mpuuzi tu atakaeamini magufuli atashinda
 
hamna kitu hapo, naona wanataka mabishano pia ktk utafiti, TADIP- hiyo ni taasisi iliyomsimamia EL kipindi cha kura za maoni, in the sense that they got his back in one way or other, they cant publish something negative upon EL..

Mbona maccm mnapanic.
Nyie juzi mlivyokaa chumbani na Twaweza.

Sasa mmemshika simba ndevu.

Tulieni Lowassa awanyoe
 
Hahahahaaaa mmmmmhh kweli CCM wameshikwa pabaya!! Mara tamko la mashekhe mara tamko la Mtikila, leo tena TADIP!! Bado Aisha Mashauzi nae atatoa tamko;):cool:
Angalia wala viroba wa ufipa sasa. Hujui hata TADIP ni ya Mdee?
 
Taasisi ya Tanzania Development Initiative (TADIP) itakutana na waandishi wa habari Hotel ya Regency, Mikocheni, Dar es Salaam, leo saa 10.30 jioni kwa ajili ya kutoa matokeo ya utafiti wa kura ya maoni kuhusu Uchaguzi Mkuu.

Ngoja tuwasikilize na hawa kuwa watazungumza nini juu ya uchaguzi Mkuu.

======================

Kinachoendelea hapa Regency Hoteli muda huu ni George Shembusho anazungumza na waandishi wa habari anasema walifanya mchakato wa utafiti kutokana na mahitaji na mazingira.

-TADIP ilifanya utafiti mwezi wa 5 na wa 6, anasema matokeo yaliharibika kutokana na mambo kuingiliana na bodi ya ukurugenzi iliukemea kutokana na baadhi ya watu kuuchukua na kuuchapisha kwenye gazeti Agosti 4.

-Anasema katika siku za karibuni kumetokea kasumba ya umma kutafsiri utafiti unaotolewa siku za hivi karibuni kwa njia tofauti kutokana na mazingira jinsi yalivyo.

Anamkaribisha
Kostastin Deus, Mtafiti Mwelekezi kueleza jinsi walivyofanya hadi kupata matokeo ya utafiti, TADIP ni kifupi cha maneno Tanzania Development Ini7a7ves Program. Ni taasisi isiyokuwa ya kiserikali iliyosajiliwa mwaka 2006.

-Tangu kuanzishwa kwake, TADIP imekuwa ikileta chachu ka7ka maendeleo ya Tanzania kupi7a programu yake ya “Maendeleo Dialogue”.
-
Anasema kupitia tafiti na midahalo, TADIP imekuwa ikiwaunganisha wananchi, wanataaluma, asasi za kiraia na watunga sera ka7ka kushawishi michakato mbalimbali ya maendeleo.

-Tangu mwaka 2010, TADIP imekuwa ikijishughulisha na tafiti za kura ya maoni ya wananchi kuelekea uchaguzi mkuu. tafiti za kura ya maoni pamoja na mambo mengine hulenga kujua maoni ya wapiga kura juu ya utayari wao wa kupiga kura, kukubalika kwa wanasiasa ka7ka nafasi ya Urais, Ubunge na Udiwani, na mitzamo ya wananchi juu ya taasisi na mifumo ya usimamizi wa uchaguzi.

-Katika hatua ya Kura ya Maoni anasema huu ni utafiti wa pili wa kura ya maoni kufanywa na TADIP kuelekea 25 Oktoba, wa kwanza ulifanyika mwezi Mei na Juni 2015. Utafiti huu umefanyika ndani ya wiki tatu za mwanzo za mwezi Septemba.

-Utafiti huu ulilenga wananchi waliojiandikisha kupiga kura katika mikoa 12 ya Tanzania. Lengo la utafiti lilikuwa mikoa ambayo ina idadi kubwa ya wananchi waliojiandikisha kupiga kura ka7ka daSari la kudumu la Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Kwa sababu zilizokuwa nje ya Taasisi, taarifa za mikoa 2 hazikuweza kupatikana kwa wakati (Tabora na Kagera)

-Watu 2500 walilengwa kupewa madodoso huku watu 2040 pekee ndo waliweza kushiriki kwa maana ya kurejesha dodoso. qUtara7bu wa kuchagua washiriki ulifanyika kwa njia ya nasibu (simple randomisa7on) huku kwa kila mkoa, walengwa wakigawanyika katika makundi matatu ya maeneo, mijini, miji midogo na maeneo ya pembezoni. Methodolojia...

-Aidha, wakusanya taarifa walichagua washiriki kwa kuzinga7a uwakilishi wa makundi mbalimbali ya kijamii kama vile elimu, jinsia, umri, kiwango cha elimu ya washiriki na kadhalika.

-Wahojiwa walipewa madodoso ya wazi (open ended ques7onnaire) kwa ajili ya kujaza majibu ya maswali yaliyokuwa yanaulizwa na wale waliokuwa hawawezi kusoma na kuandika walisaidiwa kujaza taarifa na wakusanya taarifa.

-Jendwali na 1 hapo linaonyesha mgawanyo wa sampuli ka7ka mikoa husika. qMoja ya kigezo kilichotumika kuhoji ilikuwa ni mhusika kuwa amejiandikisha kupiga kura kwenye daSari maalum kwa mfumo wa kielekroniki yaani BVR.

VIPI BADO TU HAWAJATOA ALBUM YAO HAWA TADIP?
x
 
Back
Top Bottom