The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,246
Nipo hapa na rafiki yangu ametoka "Daslam" ...a.k.a mjini anasema kwa utafiti wake mdogo alioufanya Dar ndio inaongoza kwa kuuzwa dawa za kuongeza nguvu za kiume, Wanaume wengi wanalalamikia upungufu wa nguvu za kiume na hii inatokana na vyakula wanavyokula ni vyakula laini laini kama Chips na mayai ya bandia au tuvipande tuwili twa slesi na chai tayali ndio mlo wa mwanaume kwa siku...Yaani Mwanaume yeye kila siku msosi wake ni Chips mayai..
Je watu wa dar mnakubaliana?
Je watu wa dar mnakubaliana?