Utafiti wa Nape 24HRS, Ingekuwa tafiti tulizozoea zingepewa Infinity TIMEFRAME | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utafiti wa Nape 24HRS, Ingekuwa tafiti tulizozoea zingepewa Infinity TIMEFRAME

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mitale na midimu, Mar 21, 2017.

 1. mitale na midimu

  mitale na midimu JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2017
  Joined: Aug 26, 2015
  Messages: 5,316
  Likes Received: 8,394
  Trophy Points: 280
  Nimependa Tafiti ya Mh. Nape (kamati yake aliyochagua) kwamba kufanyika masaa 24 tu na leo tunapata Update,

  Tafiti za zamani, kila kitu kipo, wahusika wapo lakini unaweza usipate matokeo hadi unazeeka...

  Hongera waziri kwa SENSE OF URGENCY
   
 2. minji

  minji JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2017
  Joined: Sep 2, 2016
  Messages: 1,346
  Likes Received: 1,419
  Trophy Points: 280
  Lakin huu utafit nayawaza matokeo yake kama mkulu kasema bashite kazi sijuii nn kitatokea
   
 3. cocochanel

  cocochanel JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2017
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 17,167
  Likes Received: 57,947
  Trophy Points: 280
  Kwa kukurupuka huku kabla ya uchunguzi alishaamua iweje na kutamka kumuhukumu RC live bila aibu wala nini.

  Hakuna kitu hapo mwanaya tu aliokuwa anautafuta kwa muda mrefu juu ya Mh. Makonda tangu haswa tangu aanze kupambana.

  Waziri wa kutembelea vituo vya redio na wasanii kuwasaidia kutoka jela.

  Lingine hivi lini ameshaenda kuendeleza sports katika mashule nchini au kuhimiza kitu au kukuza sports nchini.

  Yeye ni TV na redio tu kwa niliyozoea kuyasikia kutoka kwa hao hao wanahabari.

  Angeenda Ubungo jana sio kwenda kutafuta ushindi aliokuwa anausaka na now amepiga ukuta.

  Twitter huko kashaandika yake

  Makonda oyeeeeee
   
 4. mitale na midimu

  mitale na midimu JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2017
  Joined: Aug 26, 2015
  Messages: 5,316
  Likes Received: 8,394
  Trophy Points: 280
  utafiti unakuja na findings ambazo ndani yake kunakuwa na facts sasa mkuu kasema hafanyii kazi mitandao ya kijamii nadhani itabidi akubaliane na findings na facts za tafiti. Akigoma na hapo basi nape atakuwa amefanya kazi yake njema kwa taifa. Itabidi ajiuzuru kulinda heshima yake...
   
 5. minji

  minji JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2017
  Joined: Sep 2, 2016
  Messages: 1,346
  Likes Received: 1,419
  Trophy Points: 280
  Ngoja tuone si ni leo mchana majibu ya tafiti daah watu tumechoka
   
 6. N

  Nyati John Member

  #6
  Mar 21, 2017
  Joined: Feb 3, 2017
  Messages: 54
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 25
  Team Bashite at work!
   
 7. N

  Nyati John Member

  #7
  Mar 21, 2017
  Joined: Feb 3, 2017
  Messages: 54
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 25
  Hilo ndilo tunalotarajia wengi,tulio fundishwa uwajibikaji!
   
 8. mitale na midimu

  mitale na midimu JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2017
  Joined: Aug 26, 2015
  Messages: 5,316
  Likes Received: 8,394
  Trophy Points: 280
  wa kukurupuka huku kabla ya uchunguzi alishaamua iweje na kutamka kumuhukumu RC live bila aibu wala nini.
  Kama ni kweli au sio kweli, kitendo kile ni cha kukemewa na yeye amekemea waziwazi hapo muunge mkono. Haihitaji uchunguzi kukemea uovu ambao utokee usitokee haupaswi kuwepo.Kazi ya uchunguzi ni kugundua jambo hilo ovu na lisilofaa linalokemewa na kulaaniwa limeganyika au la...

  Waziri wa kutembelea vituo vya redio na wasanii kuwasaidia kutoka jela.

  Lingine hivi lini ameshaenda kuendeleza sports katika mashule nchini au kuhimiza kitu au kukuza sports nchini.

  Yeye ni TV na redio tu kwa niliyozoea kuyasikia kutoka kwa hao hao wanahabari.
  Hapa mpongeze kwa kufanya vizuri kwnye habari na na sanaa na mpe changamoto kwenye upande wa michezo.

  Makonda oyeeeeee
  Hapo kwenye OYEEE ni vizuri ukatusaidia Oyee kwa lipi, ila kwa wengi ni OYEE kwa kuthubutu,kujaribu, kubuni, na kupromote maendeleo kwa kiasi flani jijini.
  Ila SI--OYEEEEEEE KWa;
  1:Kupotezea DSM shule za kata Kufeli inaonekana haijamgusa...
  2:Kutokuwa na Ujasiri wa kuwaonyesha wananchi wake kama ana Vyetu halali kama alivyofanya Gavana wa kenya, na Senetor mmoja wa Nigeria Dino Melaye aliyezushiwa hakugraduate Ahmadu Bello University.
  3:Tuhuma za anazochunguzwa kuhusu Clouds.
   
 9. mitale na midimu

  mitale na midimu JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2017
  Joined: Aug 26, 2015
  Messages: 5,316
  Likes Received: 8,394
  Trophy Points: 280
  TIMEFRAME, SENSE

  karibu kwenye yaliyomo na asante kwa masahihisho japo lugha sio shule wala chuo ni medium of communication.
   
 10. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #10
  Mar 21, 2017
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,104
  Likes Received: 1,843
  Trophy Points: 280
  Hata useme nini muda wenu wa kula bata na hilo jambazi umefika ukingoni
   
 11. tozi25

  tozi25 JF-Expert Member

  #11
  Mar 21, 2017
  Joined: Aug 29, 2015
  Messages: 4,001
  Likes Received: 4,277
  Trophy Points: 280
  Vipi Nape atafanya utafiti kuhusu bunge live pia .


  Ndukiiiii
   
Loading...