Utafiti wa kutisha, waliokaa Lockdown kwa mwezi mmoja au zaidi hatarini kufariki hata kwa bakteria na fangasi baada ya kutoka nje, kinga zashuka!

joseph1989

JF-Expert Member
May 4, 2014
8,847
2,000
Mengi yanazidi kuibuka kuhusu sakata la Covid 19.

Wataalam wa afya wanasema, kinga ya mwanadamu ni kitu endelevu, hivyo kinajiimarisha na kujiboresha siku hadi siku kulingana na jinsi mazingira yanavyobadilika.

Wanasema jinsi binadamu anavyochangamana na wenzake kwa kugusana na kushikana mara kwa mara wanakuwa wanapeana vibacteria na vifungus kwa kiwango kidogo kidogo na hivyo kusaidia mwili wa kila mtu kujijengea kinga mara kwa mara kadri bacteria wapya wanavyoingia kwenye mfumo wake, na unakuta mwisho wa siku kila mtu anakuwa amepata kinga dhidi ya vijidudu husika.

Sasa inapotokea watu wamefungiwa ndani na hawachangamani , wananawa mikono kila saa, wanaziba pua na barakoa ni kwamba ile process ya kupena vibacteria na vijidudu vipya inakuwa imeacha, hivyo mwili unakuwa dormant na haupati tena changamoto za kuweza kuboresha kinga ya mwili, kwahiyo siku watakapoachiliwa toka lockdown na kuruhusiwa kuingia mtaani, mwili utaanza kukutana na vibacteria vioya vilivyo mutate kidogo tu, ila kwakuwa mwili ulikuwa haupati hivyo vibacteria in small doses na kujitengenezea kinga, basi utakuta vyote vinakupiga kwa wakati mmoja, na kwakuwa vyote ni vipya kwako basi utashangaa hata UTI inakurudishisha namba, ilihali hapo awali UTI ulikuwa huwezi hata kuifeel kama unayo.

Wataalam hao wamependekeza watu wasipewe chanjo wala dawa hata kama itapatikana, hadi watu wote wawe wamekwisha ambukizwa na kupona. Video chini ina ufafanuzi zaidi. Shikamoo JPM.
View attachment 1453359
Hiyo video ya Dr Judy PhD YouTube wameitoa ni ya dk 25 yaani yanayo zungumzwa humo yanatisha.

Baada ya kuangalia video nikaenda kutizama CV yake nikajua anacho kizungumza anakijua in deep habahatishi.

Dr Judy Mikovits CV
Judy Mikovits graduated with Bachelor of Science degree in Chemistry from the University of Virginia in 1980. She specialized in Biology. After graduation, she went to the National Cancer Institute in Frederick, Maryland, where she developed purification methods for Interferon alpha. In 1986–1987, she started working at Upjohn Pharmaceuticals in Kalamazoo, Michigan, working to develop to develop production methods to ensure biological materials manufactured using human blood products were free of contamination from HIV-1.


Mikovits completed a joint PhD program in Biochemistry and Molecular Biology at George Washington University in 1991. Her PhD thesis was titled "Negative Regulation of HIV Expression in Monocytes." She was also a postdoctoral scholar in molecular virology at the Laboratory of Genomic Diversity, National Cancer Institute, under Dr. David Derse.
 

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
26,467
2,000
You tube ni ya mabeberu tu...Haina mchango katika jamii maana ukweli ukisemwa wanaitoa video inatupwa huko ila mambo ya kipuuzi wanaacha
Cha ajabu nilijaribu kuiupload hiyo video kwa IOS ikagoma, nikatumia android ni ikakubali, nikirudi kuiangalia kwa kutumia simu ya IOS inakata kuplay, mambo ya ajabu kabisa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom