Utafiti: Uvaaji wa Pete za Ndoa huzingatiwa na Wanandoa mwanzoni mwa ndoa tu

sirluta

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
6,325
2,486
Uvaaji wa Pete za Ndoa kwa wanandoa huzingatiwa tu mwanzoni mwa ndoa zao ila baada ya kamuda hivi wanaanza kuzisahau, hadi wakumbushane ndipo wavae, wanazipoteza, na hata baadae kuzisahau kabisa.
 
this is true, nimeshawashuhudia watu kadhaa hilo likitokea,sio kusahau tu wengine huzipoteza kabisaaa
 
Back
Top Bottom