Utafiti usio rasmi; watoto hupenda sana

hata mimi

JF-Expert Member
Oct 17, 2017
1,356
1,437
Nimebaini mtoto akiwa mdogo kabisa anakuwa anapendelea vitu vilivyo katika dizaini ya urefu mfano mkanda, kamba, nyoka, nk

Akikuwa kidogo anakuwa anapenda vitu vya kuelea majini na kupaa angani mfano vifani vya meli/ndege, tiara, puto, nk
 
Back
Top Bottom