UTAFITI USIO RASMI: Wanawake wembamba wengi wana viburi

Mzee wa hat-trick

JF-Expert Member
Nov 21, 2016
1,730
2,388
Katika UTAFITI USIO RASMI, na kutokana na ninayoona yanatokea, kwangu na kwa wengine wengi, pale inapokuja kutofautiana katika mahusiano, wanawake wembamba imeonesha wengi wao (IKUMBUKWE SIO WOTE) ndo wana viburi kuliko wanawake wanene.

Bado hasa sijajua tatizo ni nini, na inapotokea akaleta kiburi mpaka kupigwa, huyu mwembamba, anaweza hata akakimbia nje kwenye uwanja na kupiga kelele "NIUE SASA, WE SI UNAJIFANYA MJANJA, NIUE TU". Tofauti na wanawake wanene wengi huweza kucontrol midomo yao, hivyo kupelekea kutokupigwa sana.

Neno langu sio sheria...!!!
 
Utafiti unapingwa kwa Utafiti, ss hapa kwenye Utafiti usio rasmi inabidi mniombee..,
 
Katika UTAFITI USIO RASMI, na kutokana na ninayoona yanatokea, kwangu na kwa wengine wengi, pale inapokuja kutofautiana katika mahusiano, wanawake wembamba imeonesha wengi wao (IKUMBUKWE SIO WOTE) ndo wana viburi kuliko wanawake wanene.

Bado hasa sijajua tatizo ni nini, na inapotokea akaleta kiburi mpaka kupigwa, huyu mwembamba, anaweza hata akakimbia nje kwenye uwanja na kupiga kelele "NIUE SASA, WE SI UNAJIFANYA MJANJA, NIUE TU". Tofauti na wanawake wanene wengi huweza kucontrol midomo yao, hivyo kupelekea kutokupigwa sana.

Neno langu sio sheria...!!!
Uongo huo wewe itakuwa mkeo pekeake
 
Mzee wa hat-trick inaelekea unaye mmoja ambaye mmeshafanya hilo zoezi maana duh ulijuaje. ni kweli huwa wana hasira sana hata wanaume wafupi huwa hivyo
Binti mwembamba nilishakuwa nae aisee, ana wivu na kiburi balaa. Yan ile ukimwaga mboga, yeye anamwaga ugali. Mkiwa na bifu haliishi haraka.

Wanaume wafupi wana swaga zao fulani hv, yani wanapenda kila mtu ajue kwamba WAPO. Wana makeke balaa...!!!
 
kwanini wanaume wafupi hupenda kuvaa suruali za vitambaa pana sana na mashati makubwa
 
Back
Top Bottom