UTAFITI USIO RASMI: Wanawake wembamba wengi wana viburi

Kabisa naunga mkono hoja. Mfano hai ni ile show ya Eatv ya kisa na mkasa ya jana jumatano yule fundi cherehani mwembamba anaonekana mtata sana. Kuna wemba na wembamba kuna wembamba wenye nyama na mwingine hauna nyama. Sasa wale wasiokua na nyama lol lol ogopa
 
wanawake wanene, midomo yao minene pia, hivyo inakuwa mizito kasoro riyama ally pekee
 
Siko mwembamba ila nilishakataa kupigwa na mume Sina nguvu kumzidi ila hunipigi nikakimbilia uvunguni, unipande na bado unipige huku nakulilia wimbo au??? Sitafuti mbingu aisee hata ubao ntakupiga nao na meno ntakung'ata chochote mbele yangu ntakutupia ukinizidi nguvu adhabu mbn nyingi tu za kuwapa
 
Vyembamba vina roho mbaya, wanene wako generous ila tu an extent,.. Ila weng wembamba ni wachoyo na wabinafsi na wana roho ndogo sana,
Mkuu umenifanya nitoe wazo la kuoa kiumbe mwenye sifa ya uwembamba kwa sasa,mpaka pale ntakapojiridhisha ndiyo ntafungua dirisha la usajili wa kudumu
 
Siko mwembamba ila nilishakataa kupigwa na mume Sina nguvu kumzidi ila hunipigi nikakimbilia uvunguni, unipande na bado unipige huku nakulilia wimbo au??? Sitafuti mbingu aisee hata ubao ntakupiga nao na meno ntakung'ata chochote mbele yangu ntakutupia ukinizidi nguvu adhabu mbn nyingi tu za kuwapa
Mmojawapo ndiyo huyu kafika,kazi ipo wakuu
 
Back
Top Bottom