Utafiti unaonyesha kuwa wanawake hubakwa na waume zao

mhm...makubwa haya...sasa hizi picha za kikubwa zinaaleta mambo....alafu na hawa dada poa unakuta pia wanaxhangia maana wanajua toa service ya ukweli
 
Hapo hoja ya msingi tunayotakiwa kuijadili ni kule kumwingilia mke kinyume na maumbile jambo ambalo si tu kosa kisheria bali ni pia ni dhambi kwa Mwenyezi Mungu. Acheni siasa katika ndoa. MKE AU MUME HAWAWEZI KUBAKANA HATA SIKU MOJA. Tusianzishe migogoro isiyoyamsingi katika ndoa. Hivi ni wakati gani utajua consent ya mke na mme simultaneously? Kawaida ni kwamba mke akihitaji mme inamlazimu amridhishe mkewe na kinyume chake. Na hayo ndio mafundisho wanayopewa wanawake katika kitchen party zao. "KUUTUNZA MSURI USIJE UKAIBIWA" sasa wewe zingatia sheria ya SOSPA na MAKOSA YA KUJAMIANA uachwe ktika ndoa yako na jamaa atamtafuta aliye tayari kumridhisha. Ninachopinga ni kwenda kinyume na maumbile hata kama ni kwa ridhaa!
 
Back
Top Bottom