Utafiti Unaonesha Mazingira Ya Biashara Kipindi Hiki Cha Uongozi Wa JPM Ni Mazuri

TataMadiba

JF-Expert Member
Feb 7, 2014
9,866
5,742
Kati ya watu 2,005 walioohojiwa, 48% wamesema Mazingira ya Biashara Ni Mazuri, 40% wamesema Mazingira ni mabaya na 12% wamesema siyo mazuri na siyo mabaya. Hata hivyo wale waliosema Mazingira ni mabaya wametoa sababu kuwa ni kodi na miundombinu isiyoridhisha.
mytake: Wale waliozoea kufanya biashara za kimagumashi bila kulipa kodi ndo wanalia. Aidha Serikali inapaswa kufanyia kazi kigezo cha miundombinu ili kuboresha sekta hiyo muhimu kwa maendeleo ya Taifa.

OCTOBER 9, 2017

A recent survey on the business environment of Tanzania indicates that investors are concerned with high taxation and inadequate infrastructure. TanzaniaInvest.com has conducted an anonymous survey on its website asking users a simple question: “Under Magufuli’s Presidency, the business environment is: Better, Worse, or Same [as before]?” Of 2,005 respondents, 48% found the business environment to have improved, 40% found it to have worsened, while 12% found it to be the same. TanzaniaInvest.com also asked respondents their nationality, if Tanzanians or other (foreign), and their annual income level, if below or above USD 50,000. 70% of the respondents were Tanzanians. Of these, 48% deemed the business environment to have improved, 41% deemed it to have deteriorated, while just 1% deemed it to be the same. Of the foreign respondents, 44% found the business environment to have improved, 39% found it to have deteriorated, while 17% found it to be the same. 65% of the respondents declared to earn less than USD 50,000 per year. Of these, 46% found the business environment to have improved, 42% to have worsened, and 12% to be the same. Among the respondents who declared to earn more than USD 50,000 per year, 53% found the business environment to have improved, 37% to have worsened, and 10% to be the same. Users were also asked, “What needs to be improved to make the business environment better?” Taxation was the most recurrent issue, with repeated calls for tax reductions, followed by infrastructure and the need for its improvement. About TanzaniaInvest.com TanzaniaInvest.com publishes news, reports, and interviews about the economy, the business environment and the investments opportunities in Tanzania. TanzaniaInvest.com is independent and is not mandate by the Tanzanian government.

Read more at: Tanzania Business Environment Survey: Taxes Major Issue - TanzaniaInvest and follow us on www.twitter.com/tanzaniainvest
 
Ngoja nicheke Kingereza!!!!

b06493901e26731a44d71a0128e3e61c--laughing-animals-smiling-animals.jpg
 
Ni mazur kweli ndo mana hatufungi biashara zetyu na mapato yamejaa
Mfyuuuuuuuuuuuu ptuuuuuu#$#$%&
 
Kama mlizoea kukwepa kodi, lazima mtafunga tu.na ndiyo nyie 40% mnaolalamika

Unataka kutuambia toka mwaka 1961 viwanda vilivyokufa na kufungwa ni vya wawekezaji wakwepa kodi? Sheria inasemaje kwa mkwepa kodi?
 
Unakuta wewe uliyeandika upuuzi huu hujui biashara hujawahi hata kuuza nyanya...hujawahi hata kwenda TRA kufanyiwa makadilio ya kodi...hujawahi kumuajili hata mtu ambaye malipo yake yanategemea biashara husika...!!

Watu kama nyie ndio mnaolidumaza taifa letu...hamjui kitu au mnajua lakini uzandiki na unafiki wa kutetea matumbo yenu ndio umewajaa...!!
Endeleeni kugeuza nyeupe kuwa nyeusi... Wanafiki ndio mtakuwa wa kwanza kwenye moto wa mile na ndio mtakuwa kuni..

Ova!!
 
Aibu huwaga haikwepeki siku zote ccm ndo kauli zenu hizo ina maana kila anapowekeza yeye anapendelewa tu?
Inawezekana huko hapendelewi, ila kwa Tanzania nani asiyejua mchakato wa Dangote kuwekeza ulivyopewa upendeleo? Kwanza Dangote anaongea bila kujua vizuri sheria za uwekezaji nchini. Analaghaiwa na Management yake anakimbilia kutoa matamko bila kufanya utafiti
 
Tanzania wameandaa mazingira ya kuvutia wawekezaji? Hivi unakielewa unachoandika kweli wewe? Umeme tu wa shida kwa nini usimpe upendeleo mwekezaji mkubwa asaidie kupunguza na tatizo la ajira?
 
Unakuta wewe uliyeandika upuuzi huu hujui biashara hujawahi hata kuuza nyanya...hujawahi hata kwenda TRA kufanyiwa makadilio ya kodi...hujawahi kumuajili hata mtu ambaye malipo yake yanategemea biashara husika...!!

Watu kama nyie ndio mnaolidumaza taifa letu...hamjui kitu au mnajua lakini uzandiki na unafiki wa kutetea matumbo yenu ndio umewajaa...!!
Endeleeni kugeuza nyeupe kuwa nyeusi... Wanafiki ndio mtakuwa wa kwanza kwenye moto wa mile na ndio mtakuwa kuni..

Ova!!
Jipe muda kusoma mkuu, acha kukurupuka kumtukana mleta mada, ingia kwenye hiyo link hapo chini uone ripoti hii ni baada ya utafiti na siyo ya kishirikina kama mlivyozoea
 
Inawezekana huko hapendelewi, ila kwa Tanzania nani asiyejua mchakato wa Dangote kuwekeza ulivyopewa upendeleo? Kwanza Dangote anaongea bila kujua vizuri sheria za uwekezaji nchini. Analaghaiwa na Management yake anakimbilia kutoa matamko bila kufanya utafiti
Akili zenu ndio tatizo.... Unafikiri uwekezaji alioufanya duniani kote alikuja tz bila kufanya research yoyote??? Bila kusoma sera za uwekezaji..!? Tatizo la serikali ni kubadilika kama kinyonga leo hili kesho lile...!!!
 
Mleta mada wewe binafsi unafanya biashara?

Tuache mizaha kabisa kwenye maisha ya watu, watu wanazidi kufirisika kila siku halafu mwingine anakuja na blah blah za kusema biashara zinakwenda vizuri.
Ni bora ukakaa kimya kuliko kuwadhihaki wengine.
 
Tanzania wameandaa mazingira ya kuvutia wawekezaji? Hivi unakielewa unachoandika kweli wewe? Umeme tu wa shida kwa nini usimpe upendeleo mwekezaji mkubwa asaidie kupunguza na tatizo la ajira?
Mkuu utachekwa, unadhani miundombinu ni umeme tu? Hata hivyo unataka kusema hata huyo Dangote anatumia nishati ya mkojo au? Haiwezekani umeme uwepo wa kutosha kwa asiimia mia hasa kwa nchi zetu. Hizi. Jipongeze hata kwa hatu uliofikia. Kuwa mzalendo
 
Mkuu labda tuanzie na wewe mwenyewe, Una biashara yoyote unayofanya..??
Unajua namna TRA wanavyokadilia kiwango cha kulipa kodi??,
Unafahamu kwamba wenye biashara ya MPESSA,TIGO PESSA nk wanatakiwa walipie mapato huku kwenye miamala tena wanalipa kodi?..
Unafahamu kwamba kila biashara inatakiwa iwe na EFD machine na EFD machine inauzwa laki nane...
Unajua kwamba TRA wanakadiria biashara ya mtu kupitia mauzo yake pasipo kuangalia Faida yake na kodi ndio ilipwe?
 
Mleta mada wewe binafsi unafanya biashara?

Tuache mizaha kabisa kwenye maisha ya watu, watu wanazidi kufirisika kila siku halafu mwingine anakuja na blah blah za kusema biashara zinakwenda vizuri.
Ni bora ukakaa kimya kuliko kuwadhihaki wengine.
Utafiti unapingwa kwa utariti siyo kishirikina-Kitila Mkumbo. Weka matokeo ya utafiti wako mezani
 
Mkuu labda tuanzie na wewe mwenyewe, Una biashara yoyote unayofanya..??
Unajua namna TRA wanavyokadilia kiwango cha kulipa kodi??,
Unafahamu kwamba wenye biashara ya MPESSA,TIGO PESSA nk wanatakiwa walipie mapato huku kwenye miamala tena wanalipa kodi?..
Unafahamu kwamba kila biashara inatakiwa iwe na EFD machine na EFD machine inauzwa laki nane...
Unajua kwamba TRA wanakadiria biashara ya mtu kupitia mauzo yake pasipo kuangalia Faida yake na kodi ndio ilipwe?
Tatizo mlizoea biashara haramu.. Maelezo mengi ya nini? Lipa Kodi kwa Maendeleo ya Taifa
 
Back
Top Bottom