zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,835
Utafiti uliofanywa na wataalamu wa masuala ya mahusiano katika Chuo cha Climax nchini Marekani unaonesha uhusiano unaoanzia mtandaoni hudumu.
Asilimia 23%ya uhusiano ambao huanzia mtandaoni tafiti zimeonesha kuwa ndio hudumu mpaka kufikia kufunga ndoa.
Ukilinganisha na uhusiano ambao huanzia nje ya mtandao uhusiano huo umeonekana kutokudumu mpaka kufikia siku ya ndoa.
Utafiti huo ulifanywa kwa kuwahoji watu walioko kwenye ndoa ambapo katika kila watu kumi waliokuwa kwenye ndoa 6 Kati ya hao walianza uhusiano kupitia mtandao.
Mitandao maarufu ambayo inasifika kwa watu kuanza mahusiano ni Kama vile Facebook,Instagram na Badoo.