Utafiti: Uhusiano unaoanzia mtandaoni unadumu

zagarinojo

JF-Expert Member
Jul 26, 2020
2,622
2,835
Utafiti uliofanywa na wataalamu wa masuala ya mahusiano katika Chuo cha Climax nchini Marekani unaonesha uhusiano unaoanzia mtandaoni hudumu.

Asilimia 23%ya uhusiano ambao huanzia mtandaoni tafiti zimeonesha kuwa ndio hudumu mpaka kufikia kufunga ndoa.

Ukilinganisha na uhusiano ambao huanzia nje ya mtandao uhusiano huo umeonekana kutokudumu mpaka kufikia siku ya ndoa.

Utafiti huo ulifanywa kwa kuwahoji watu walioko kwenye ndoa ambapo katika kila watu kumi waliokuwa kwenye ndoa 6 Kati ya hao walianza uhusiano kupitia mtandao.

Mitandao maarufu ambayo inasifika kwa watu kuanza mahusiano ni Kama vile Facebook,Instagram na Badoo.
 
Walioko mitandaoni ndio hawa hawa walioko mitaani.

Sio kwamba kuna jamii ya watu inaishi facebook alafu wasiwepo mtaani no.
Yeah najua Ila wapo wengine hupata wapenzi kupitia mtandao yani chatting turns into closer friend ship halafu hatimaye uhusiano..
Wapo wa mtaani ambao huanza kupendana bila kuanzia mtandaoni
 
Utafiti uliofanywa na wataalamu wa masuala ya mahusiano katika Chuo cha Climax nchini Marekani unaonesha uhusiano unaoanzia mtandaoni hudumu.

Asilimia 23%ya uhusiano ambao huanzia mtandaoni tafiti zimeonesha kuwa ndio hudumu mpaka kufikia kufunga ndoa.

Ukilinganisha na uhusiano ambao huanzia nje ya mtandao uhusiano huo umeonekana kutokudumu mpaka kufikia siku ya ndoa.

Utafiti huo ulifanywa kwa kuwahoji watu walioko kwenye ndoa ambapo katika kila watu kumi waliokuwa kwenye ndoa 6 Kati ya hao walianza uhusiano kupitia mtandao.

Mitandao maarufu ambayo inasifika kwa watu kuanza mahusiano ni Kama vile Facebook,Instagram na Badoo.

Kweli wacha badoo ibarikiwe.....wanasema mzi pamoja na hasara zake ana faida ya kupunguza msongamano wa watu duniani
 
Utafiti uliofanywa na wataalamu wa masuala ya mahusiano katika Chuo cha Climax nchini Marekani unaonesha uhusiano unaoanzia mtandaoni hudumu.

Asilimia 23%ya uhusiano ambao huanzia mtandaoni tafiti zimeonesha kuwa ndio hudumu mpaka kufikia kufunga ndoa.

Ukilinganisha na uhusiano ambao huanzia nje ya mtandao uhusiano huo umeonekana kutokudumu mpaka kufikia siku ya ndoa.

Utafiti huo ulifanywa kwa kuwahoji watu walioko kwenye ndoa ambapo katika kila watu kumi waliokuwa kwenye ndoa 6 Kati ya hao walianza uhusiano kupitia mtandao.

Mitandao maarufu ambayo inasifika kwa watu kuanza mahusiano ni Kama vile Facebook,Instagram na Badoo.

I can see why it would be that way....mtaani usanii mwingi mtandaoni mtu anakuwa ana reveal true character yake kwa uhuru ...kama wee mgegedaji basi utapata ambaye pia ana penda kugegedwa...no pretence
 
Hivi inakuwaje tafiti kama hizi utasikia chuo fulani fulani cha Marekani au cha uingereza, hivi sisi vyuo vyetu hawafanyaji au?
 
Back
Top Bottom