Utafiti: Uchungu wa uzazi kwa wanaume. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utafiti: Uchungu wa uzazi kwa wanaume.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mkeshaji, Jun 6, 2012.

 1. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Madaktari bingwa walikuwa wanafanya majaribio ya utafiti wao walioufanya.

  Utafiti huo ulikuwa ni kuhusu dawa ya ambayo anapewa mama mjamzito muda mfupi kabla ya kujifungua ili uchungu wa uzazi uhamie kwa mume aliyempa ujauzito.

  Mama mmoja alikwenda kujifungua na akapewa dawa hiyo. Mumewe naye alishapewa taarifa hizo ambazo alikubaliana nazo (kwamba dawa apewe mkewe ili uchungu uhamie kwake mwanaume). Kwa mantiki hiyo mumewe alitakiwa kuwepo pale maeneo ya hospitali ili kuhakiki matokeo ya utafiti.

  Mama hakupata uchungu. Cha ajabu mumewe naye hakupata uchungu. Kuona vile madaktari wakamwongezea mama dozi. Safari hii tena si mke wala mume, wote hakuna aliyepata uchungu. Dozi iliendelea kuongezwa tena na tena hadi mama akajifungua lakini bila kupata uchungu, si yeye wala mumewe.

  Wawili hao na kachanga kao wakatoka kuelekea nyumbani. Kufika kule wakamkuta housboy wao yuko hoi mahututi kwa uchungu.
   
 2. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,831
  Likes Received: 775
  Trophy Points: 280
  Hahahaha hii kali,duh houseboy ndo baba mtoto ama.kwakwakwa mbavu zangu
   
 3. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Umesahau kile kipimo cha dna kilifanyika jeshini kama pilot....dah! naona wakasema basi tusiendelee..
   
 4. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,309
  Likes Received: 974
  Trophy Points: 280
  Mkuu hii babukubwa
   
 5. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hahahahahaaa.
  Mkuu asilimia kubwa wanalea watoto sio wao. Cha muhimu usichunguze maana utaumia.
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ndoa inateketea hivi hivi, technolojia nyingine mh cjui kama zitakaa zitokee!
   
 7. J

  JULIUS MBIAJI Member

  #7
  Jun 6, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siku hz mahouseboy na mahousegirl wanaonekana kuchukua nafasiiii.mbaya sana.
   
 8. KML

  KML JF-Expert Member

  #8
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mtoto ata asifanane na mimi ata masikio...naua
   
 9. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #9
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Yaelekea bado hujapata mtoto.
  Wapo waswahili tena wakorofi kweli wanalea watoto wa kihindi/kiarabu/kizungu na wamezaliwa ndani ya ndoa ambayo baba na mama ni waswahili pyua.
   
 10. S

  Senator p JF-Expert Member

  #10
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe mkal
   
 11. N

  Neylu JF-Expert Member

  #11
  Jun 6, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,650
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hahahaaaa.........Nimeipenda sana hii!
   
 12. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #12
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,831
  Likes Received: 775
  Trophy Points: 280
  hahahaha punguza hasira
   
 13. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #13
  Jun 7, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,333
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  nyie ndo wajinga waliwao mimi nachunguza A to Z nikikuta sio wangu tupa kule mama na mwana
   
 14. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #14
  Jun 7, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,333
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  we unaongea nini mkuu, nipe mwanao wa kike nioe afu anizalie mtoto sio wangu uone nitamfanyaje
   
Loading...